Serikali idhibiti mahindi kwenda nje

Serikali idhibiti mahindi kwenda nje

nayaona malori ya kenya yanapishana kuzoa mahindi wakati sado tunauziwa 4500, sema dua la kuku halimpati mwewe.

maisha ni magumu kwa watu wa hali ya chini
 
Limeni mahindi ya kutosha acheni mawazo ya kijinga.
 
Point yangu Ni acheni wakulima wauze wanavyotaka,Kama Ni wafanyabiasara acheni wapige hela.Mtu yoyote akiona hela zipo kwny mahindi nae arnde akalime/afanye biashara ya mahindi.
Maisha ni kutegemeana, wote hatuwezi kuwa wakulima, ndio maana unasikia watu wanalalamika bei za mafuta, mazao,vifaa vya ujenzi n.k.

Bidhaa moja ikipanda inaathiri nyingine.
 
Back
Top Bottom