mzee wa mazabe
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 843
- 627
Aisee Serikali waingilie hili mara moja tutakuwa tunatafuta mchawi bila kujua kumbe mzigo unakuwa upo getini tunauamishia ndani hospitali, Waziri wa Afya tafadhali tunaomba majibu ya jambo hili mara moja au mtuambie wanazipata wapi hawa watu wanaouza hizi barakoa nje ya HospitaliBarakoa zenyewe zunauzwa kama nguo yaani mteja anaishika na kuchagua
Wengine wana corona au hata TB sasa anapoishika na kuirudisha na kuchagua nyingine hapo ndio mtihani unapoanzia..
Mimi nikivaaga nahisi kama kuna tuvitu vitu vinaingia kwenye pua kwahiyo inaniradhimi nifunike mdomo niache pua wazi😁😁Feri ukienda kupanda pantoni wapo wengi tena wanatisha watu eti wanazuia kupanda pantoni kama usipovaa barakoa zao, maskini na wengine wana nunua kwa fujo,
Nadhani kuna ulazima wa kuangalia kwa jicho la tatu hizo Barakoa zinaleta mafua kwa wengi sijui ni zile nyuzi nyuzi zake au kuna lipi kubwa, sijuiiii.
Kwahiyo tununue zile za getini Hospitali kama walizifua usiku wakazianika kisha wakazipiga pasi wakatuletea kutuuzia getini unaona itakuwa sawa mkuu???Taratibu ni zile zile zilizotolewa na wizara ya afya.
-Vaa Barakoa
-Nawa kwa maji tiririka na sabuni
-Tumia "Santaiza".
-Epuka misongamano isiyo ya lazima.
Tuliza mshono DadaBarakoa zenyewe zunauzwa kama nguo yaani mteja anaishika na kuchagua
Wengine wana corona au hata TB sasa anapoishika na kuirudisha na kuchagua nyingine hapo ndio mtihani unapoanzia
Barakoa zote lazima ziwe zimefungwa na plastic ili mteja aifungue mwenyewe
Yaani zimemwagwa kama chupi
Nimecheka peke yangu 😁😁Maadui wetu ni wale wale hawajabatizwa:
1. Ujinga
2. Umaskini
3. Maradhi
Ina that order.
Kwahiyo tununue zile za getini Hospitali kama walizifua usiku wakazianika kisha wakazipiga pasi wakatuletea kutuuzia getini unaona itakuwa sawa mkuu???
Wewe unalipwa mshahara....wao ndo wanajitafutia mshahara hivyo.Nimepita pale KCMC barakoa zinauzwa kama nyanya pale getini, nimepita Benjamini Mkapa napo hivyo hivyo na sijajua kama na Mwanza pale Bugando hali ipo hivyo...
Mkuu jamaa ameshauri kutokana na usalama wa hizo Barakoa,sio issue ya kipato bali ni issue ya uhai wa binadamu.Wewe unalipwa mshahara....wao ndo wanajitafutia mshahara hivyo.
Aisee Serikali waingilie hili mara moja tutakuwa tunatafuta mchawi bila kujua kumbe mzigo unakuwa upo getini tunauamishia ndani hospitali,Waziri wa Afya tafadhali tunaomba majibu ya jambo hili mara moja au mtuambie wanazipata wapi hawa watu wanaouza hizi barakoa nje ya Hospitali
Tuliza mshono Dada
Tena wateja wana jaribisha kabisa [emoji25][emoji25] eee Mungu tusaidiye siye viumbeBarakoa zenyewe zunauzwa kama nguo yaani mteja anaishika na kuchagua
Wengine wana corona au hata TB sasa anapoishika na kuirudisha na kuchagua nyingine hapo ndio mtihani unapoanzia
Barakoa zote lazima ziwe zimefungwa na plastic ili mteja aifungue mwenyewe
Yaani zimemwagwa kama chupi