Unajaribisha unakuta inanuka kabisaYaani ni ya kujitafutia halafu unaambiwa bila mask huingii inabidi ununue hata iliyojaribiwa
Haya ni majanga
Tena wateja wana jaribisha kabisa [emoji25][emoji25] eee Mungu tusaidiye siye viumbe
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Nilicheka hapo Muhimbili, mama mmoja alikuwa anajaribu kabisa kama itamtosha maana ni zile za vitambaa na wauzaji hawajali hilo
Unapovaa barakoa ili kuziba mdomo na pua ina maana unazuwia virus wa corona wasikuingie mwilini mwako kwa njia ya mdomoni au puani,hii ina maanisha kua hao virus wanaweza kutua kwenye sehemu zako zingine za usoni,mfano virus wanaweza wakawa kwenye kidevu,paji la uso au shingoni,
Sasa unapoishusha Barakoa yako kidevuni,kwenye shingo au kwenye paji la uso kisha ukaja kuivaa tena mdomoni ina maana umewachukua wale virus waliokua kwenye sehemu hizo za usoni na kuwapeleka ndani ya mwili wako kwa kupitia puani na mdomoni kwani watakua wamechukuliwa na hiyo barakoa iliyokua imeshushwa kidevuni!
Kama unataka kuivua barakoa ,ni bora ukaiweka kwenye mfuko wa nguo uliyoivaa bila kuichanganya na vitu vingine,kama vile funguo,simu,au karatasi ya aina yeyote ile ambayo imepita kwenye mikono ya watu wengi,
Kama hutokua muangalifu basi hiyo barakoa inaweza kugeuka na kua kifaa cha kukuletea hao virus!
Balaaah kabisa ikifika hapo,yaani Wizara ya Afya sijui hawaoni haya maajabu😁😁Tena wateja wana jaribisha kabisa [emoji25][emoji25] eee Mungu tusaidiye siye viumbe
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Serikali lazima ichukie hatua mapema maana uenda tukawa tunapeleka Covid ndani ya hospitali bila kujuaNilicheka hapo Muhimbili, mama mmoja alikuwa anajaribu kabisa kama itamtosha maana ni zile za vitambaa na wauzaji hawajali hilo
Hili mimi nalisema sana hili kwamba watu hawajui matumizi sahihi ya barakoa, ukisema uulize wangapi wananawa mikono kabla ya kuvaa barakoa na wakati wa kuvua ni wazi wanahesabika, mtu anaenda kwenye mechi ya simba na yanga halafu et anategemea barakoa ndio kila kitu.Unapovaa barakoa ili kuziba mdomo na pua ina maana unazuwia virus wa corona wasikuingie mwilini mwako kwa njia ya mdomoni au puani,hii ina maanisha kua hao virus wanaweza kutua kwenye sehemu zako zingine za usoni,mfano virus wanaweza wakawa kwenye kidevu,paji la uso au shingoni,
Sasa unapoishusha Barakoa yako kidevuni,kwenye shingo au kwenye paji la uso kisha ukaja kuivaa tena mdomoni ina maana umewachukua wale virus waliokua kwenye sehemu hizo za usoni na kuwapeleka ndani ya mwili wako kwa kupitia puani na mdomoni kwani watakua wamechukuliwa na hiyo barakoa iliyokua imeshushwa kidevuni!
Kama unataka kuivua barakoa ,ni bora ukaiweka kwenye mfuko wa nguo uliyoivaa bila kuichanganya na vitu vingine,kama vile funguo,simu,au karatasi ya aina yeyote ile ambayo imepita kwenye mikono ya watu wengi,
Kama hutokua muangalifu basi hiyo barakoa inaweza kugeuka na kua kifaa cha kukuletea hao virus!
Na tushajadili sana hili suala.Hizi mbona zipo tokea phase 1
Halafu mtu anasema Barakoa hazizuwii corona,kumbe hajui matumuzi sahihi ya jinsi ya kuivaa Barakoa na kuivua.Hili mimi nalisema sana hili kwamba watu hawajui matumizi sahihi ya barakoa, ukisema uulize wangapi wananawa mikono kabla ya kuvaa barakoa na wakati wa kuvua ni wazi wanahesabika, mtu anaenda kwenye mechi ya simba na yanga halafu et anategemea barakoa ndio kila kitu.