Serikali iendelee na sherehe za kumpongeza Majaliwa

Serikali iendelee na sherehe za kumpongeza Majaliwa

Nchi ina malalamiko mengi sana kwa sasa huyu dogo naona ni wa mchongo ili ajadilike kwenye mitandao na vinywa vya watu na kuwasahaulisha kujadili vitu au agenda za msingi na muhimu kwa ustawi na maendeleo ya nchi.
 
Demi I love you
Nikiiona hiyo avatar namkumbuka kuna binti ana muonekano huohuo. Dah! Mtoto wa kinyamwezi nimemkumbuka sana. Wish I could turn back the hands of time. Those were the days 😥
Asante rafiki💚
Na mimi ni mnyamwezi ujue 😜
 
inanikubusha kisa cha yule mlevi mfupi..aliyepata umaarufu wa ghafla afu ukapotea.
Nchi ngumu hii, akapelekwa bungeni, akakatiwa tickets ya pipa kwenda kwa waarabu eti kuhamasisha timu kichwa cha mwendawazimu.!
 
View attachment 2419623

Serikali naipongeza kwa hili, aendelee kuitwa na kupongezwa kila kona. Arudi tena bungeni kupongezwa. Afanyiwe HBD.

Huu ni muda wa kupongeza sio muda wa kuchukua hatua za kudhibiti majanga. Kwanza haiko kwenye ilani ya chama. Pili serikali haijaleta haya majanga.

Hata mwezi haijapita dege lingine limeshindwa kutua Bukoba. Sasa serikali inahusikaje, kwani mama ndio rubani?!

Majaliwa aalikwe JF aje kupongezwa
Hiyo hela ya kumpongeza ingetumika to habilitate maeneo yaliyoharibiwa ili kuimarisha vyanzo vya maji
 
Back
Top Bottom