SERIKALI Ifanye msako wa kukagua haya magorofa kuna gorofa zinapicha ya ghorofa 3 gafla unaona 4 hii sijui inakaaje

SERIKALI Ifanye msako wa kukagua haya magorofa kuna gorofa zinapicha ya ghorofa 3 gafla unaona 4 hii sijui inakaaje

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Haya mambooo yanachangiwa na ma eng wa manispaaa na wanaotoa vibali halmashauri

Wamechangia vifooo vngi sana kwa ndugu zetu hawa

Unajiuliza leo hii zinasambwaza taarifa fb wamiliki wamesafiri nje ya nchi tena wiki hiii

Badooo nawaza wale ma engn waliohusika kusimamia kukagua lile gorofa wakowapiii mda huuu

Hivi sasa kumezuka docs zinazoenda kule manispaa ni kama famba tu inatumwa docs za michoro ya ghorofa 3 gafla unakuta ghorofa nne

Unawaza how...hizoo beam walizoweka na manguzo na mazegee yakee yalikuwa imaraa kukidhi ghorofa nne

Na haya yote n hawa wah wa manispaa na halmashauri

Narudiaaa Mungu atawaadhibu mkiwa dunian

Rip marehemu watarajiwa
 
Naendelea kuwasagia kunguniiii
 
Haya mambooo yanachangiwa na ma eng wa manispaaa na wanaotoa vibali halmashauri

Wamechangia vifooo vngi sana kwa ndugu zetu hawa

Unajiuliza leo hii zinasambwaza taarifa fb wamiliki wamesafiri nje ya nchi tena wiki hiii

Badooo nawaza wale ma engn waliohusika kusimamia kukagua lile gorofa wakowapiii mda huuu

Hivi sasa kumezuka docs zinazoenda kule manispaa n kama famba tu inatumwa docs za michoro ya ghorofa 3 gafla unakuta ghorofa nne

Unawaza how...hizoo beam walizoweka na manguzo na mazegeeyakee yalikuwa imaraa kukidhi ghorofa nne

Na haya yote n hawa wah wa manispaa na halmashauri

Narudiaaa Mungu atawaadhibu mkiwa dunian

Rip marehemu watarajiwa
Yako mangapi hayo mamb...? Na la kwako likiwamo?
 
Hawa watu wa halamshauri mtawaonea tu!unajua halmashauri zina maengineer wangapi!
Kuna wilaya moja ipo Pwani nlifanya nao kazi wale jamaa halmashauri nzim ina maengineer 2 walikuwa na miradi zaidi ya 300 kwa mwaka!hyo ni miradi ya halmashauri peke ake!bado kuna miradi ya sekta binafsi!hao watu wanawazeje kukagua miradi yote hyo!iambie serikali yako iajiri
 
Utaratibu na sheria zipo clear, na wanaotakiwa kutekeleza na kusimamia ni wala rushwa na hawafanyi kazi zao, watu waanze kuwajibika na kufanya kazi inavyotakiwa
 
Back
Top Bottom