DOKEZO Serikali Ifanye Uchunguzi Wa Kifo Cha Dkt Faustine Ndugulile Na Kuongeza Ulinzi Mzito Kwa Dkt Tulia Ackson

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Waanzie na kina Ben Saanane, Deus Soka, Ali Kibao na wengine wote waliopotea na kufa kimazabe.

Hapo vipi?
 
Kuna thread Moja ya Tumia akili "kitambaa cheusi ndani ya Bunge la marekani"

Kaitafute na hiyo ,ndipp akili zitakukaa sawa!
 
Nimebubujikwa machozi ya furaha baada ya kuona uzi wako mkuu.
 
Hoja yako hapa sijaielewa kabisa
Ina maana una ushahidi mfukoni, kuwa wameuwawa hao
Maana huwezi kuandika tuhuma bila kuwa na ushahidi
Lazima unajua kitu
Unaweza kuhojiwa kwa haya na uwe tayari
Uchunguzi huwa unaanza kwa uropokaji
 
Kelele zimetoka wapi kwani ndugu Lucas Mwashambwa, Huyo Mama unasema anatosha ameshasema kifo ni kifo tu, na sisi tumesimamia hapo hapo. KIFO NI KIFO TU.
 
Uchunguzi wa nini?

Kifo ni kifo TU
Saa1000😳
 
Kuongeza ulinzi Kwa tulia mwansasua ambaye ameharibu bunge letu ni matumizi mabaya ya fedha za umma
 
Leo
Leo kidogo umeongea ukweli mchungu hizo ndio point za kuongea kama kijana sio kila siku unaongea maboso hapa
 
Ni kweli hawezi kurudo lakini inaweza kutupatia maarifa na nini cha kufanya pale unapogundua kuwa kuna mkono wa mtu.
Acha akili potofu za mkono wa mtu. Akifa raia wa kawaida pale Muhimbili ni maradhi lakini akifa mteule wa rais kwenye hospital kule India eti uchunguzi ufanyike na waliopo wapewe ulinzi zaidi. Insane.
 
Ninyi mmeshindwa uchaguzi kihalali kabisa na kwa haki kabisa.kwa sababu hamkujiandaa na uchaguzi na wala hamkuwa na sera wala ajenda zenye kugusa Maisha ya watu na kuleta ushawishi kwa watu.hata wagombea mlikuwa mnaokoteza okoteza tu
Bora wao ni sera tu nyie toka uhuru mmegusa vipi maisha ya watu ? Kwa sababu kila siku changamoto ni zile zile🤔
 
Naunga mkono hoja.
Serikali yetu haijazoea vitimbwi vya ushindani kimataaifa, hasa na nchi za Afrika na dunia ya Tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…