Serikali ifanye uchunguzi wa kina kwenye mbegu za vyakula zinaoingizwa nchini

Serikali ifanye uchunguzi wa kina kwenye mbegu za vyakula zinaoingizwa nchini

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Nilikua nimekaa mahali kwa bahati mbaya.

Sasa nikasikia beberu moja Toka kwa Biden likiwa linatetema kwamba eti Kuna mkakati wa kuweka vijidudu vya magonjwa ya mimea na wanadamu Toka nchi moja ya mashariki ya mbali kwa wale macho madogo.

Ingawa naelewa Kuna vita vya kiuchumi baina yao.

Ila alichokuwa anakizungumzia sio cha kukipuuza.

Umakini uongezwe kwa mbegu zozote Toka huko kwa wale watu wenye macho madogo.

Ila kwa jinsi rushwa inavyotamalaki tutakuwa salama kweli Mungu utulinde tu.

Lengo la huu Uzi sio kuzua taharuki au kuharibu biashara ya mtu bali ni kwa nia njema tu kama raia mwaminifu.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom