Tanzanians
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 265
- 385
Zifuatazo ni mbinu za kupunguza tatizo la ajira nchini
- Kuondoa VAT
- Wafanyakazi wa idara ya serikali ukitoa udaktari na unesi ajira zao ziwe ni za mfupi kuanzia miaka 5 mpaka 7 ili kila mtu afaidi keki ya taifa
- Mikopo ya bank za biashara isizidi iwe kati ya asilimia 4 mpaka 6