Tanzanians
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 265
- 385
Knowledge and experience ni kwenye udaktari tuHiyo idea yako ni functionless
Yaan uajiriwe miaka 3 then ustafu huyo anaye replace anasoma miaka 3
Kwa hiyo atoke chuo moja kwa moja kwenye ajira akifika aliyepo kwenye ajira ana stafu
Labda kwenye nchi ya kusadikika huu ujinga utafanyika
Kuna kitu kinaitwa knowledge and experience
Tulia ufikirie vizur tena
Umeandika upumbavu mtupuZifuatazo ni mbinu za kupunguza tatizo la ajira nchini
- Kuondoa VAT
- Wafanyakazi wa idara ya serikali ukitoa udaktari na unesi ajira zao ziwe ni za mfupi kuanzia miaka 5 mpaka 7 ili kila mtu afaidi keki ya taifa
- Mikopo ya bank za biashara isizidi iwe kati ya asilimia 4 mpaka 6
Huko ni kwa sababu population ina decline hakuna vijana ndo maana wanaongeza mda wa kustaafuKama hujui....serikali yeyote duniani ingependa iongeze muda wa kustaafu ikibidi iwe hata 70! Kwa sababu ukimstaafisha MTU mapema let say miaka 5 baada ya kuajiliwa,.utatakiwa umlipe pension mpaka uzeeni, Sasa huo mzigo serikali Gani itauweza wa kutunza mstaafu wa miaka 35
Una upeo mdogo sana sio kosa lakoUmeandika upumbavu mtupu
Ukiondia VAT serikali itajiendesha vipi? Hiyo pesa ya kulipa hao wafanyakazi wake itatoa wap?
Ajira za muda mfupi na kustaafu unajua maana yake? Utakuwa na kundi kubwa la wastaafu wasiofanya kazi lakini unaowalipa pension kila mwezi mzigo mwingine kwa serikali
Mbona kuna watu wanamiaka zaidi ya 10 na wanaishiWakistaafu wanalipwa pensheni au wanarudi tu mtaani ? Tatizo si litakuwa pale pale ?
Ukiondoa VAT utapunguza mapato ya serikali ambayo yataathiri uwezo wa kutoa huduma kwa wananchi ambayo yatapunguza uwezo wa serikali kuajiri ambayo itabakiza tatizo pale pale
Sahivi VAT ipo na serikali haitoi huduma kwa wananchi inavyotakiwaWakistaafu wanalipwa pensheni au wanarudi tu mtaani ? Tatizo si litakuwa pale pale ?
Ukiondoa VAT utapunguza mapato ya serikali ambayo yataathiri uwezo wa kutoa huduma kwa wananchi ambayo yatapunguza uwezo wa serikali kuajiri ambayo itabakiza tatizo pale pale
Knowledge and experience ni kwenye udaktari tu
Huku kwingine wapishe na wengine najua umekasirika sababu panga lit
Hivi siku hizi na madaktari wanakosa ajira?Zifuatazo ni mbinu za kupunguza tatizo la ajira nchini