SoC04 Serikali ifanye yafuatayo kupunguza kodi umiza kwa wananchi

Tanzania Tuitakayo competition threads

KijanaHai

Member
Joined
Aug 7, 2022
Posts
7
Reaction score
6
VYANZO VIPYA VYA MAPATO
Kumekuwa na kodi na tozo mbalimbali ambazo zimekuwa zikiwagusa wananchi na zingine zimekuwa zikiwaumiza kutokana na kushuka thamani ya fedha ya Tanznia dhidi ya dola na hii inakuja kwasababu serikali haina vyanzo vipya vingi vya mapato vipo vile vile ambavyo kiuhalisia kutokana na ongezeko la idadi ya wananchi na mahitaji vyanzo vili vilivyopo havitoshelezi kutatua huduma mbalimali za wananchi kwakuwa ivyo mzigo unangukia kwa wanachi serikali ipo kwa jaili ya kuwatumikia wananchi basi ifanye mambo yafuatayo yatakayosaidia kupunguza maumivu kwa wananchi wake.

1. Kuanzisha Mageti ya Jiji
Kuna muingiliano mkubwa wa watu katika majiji ya tanzania mfano mzuri ni daresalaam yenye idadi kubwa ya watu ambapo watu mbalimbali wamekuwa wakienda kufuata mahitaji yao kariakoo ikiwemo na nchi za jirani. Hii imesababisha foleni za vyombo vya usafiri katikati ya mji. Changamoto hii tunaweza kuitatua kwa kugeuza fursa ya utalii na chanzo cha mapato kwa njia mbili
  • Kuanzisha maegesho ya wilaya
Serikali ianzishe maegesho ambayo safari zote za kuelekea katikati ya mji zitaishia hapo na kwa kuanzia tutaanzia dar mfano watu wanaotoka Mbagala vyompo vya usafiri vyote vitaenda kupaki keko na wanaotoka njia ya gongo la mboto wataishia tazara na wanaotoka kinondoni wataishia salender bridge na wanaopitia njia ya morogoro road wataishia Jangwani au magomeni na wa kigamboni wataishia kivukoni kwani ukiangalia watu wote kwenye njia izo wanaenda posta au kariakoo kufuata mahitaji. Ivyo kuanzia kwenye mwisho wa hizo safari kutakuwa na Treni za umeme, city tax na City puplic transport buses, ambao zitapita katika maeneo muhimu wananchi wanafuata mahitaji yao au kwenda ofisini kwa gharama nafuu hii haitakuwa kutatua tatizio la foleni pekee bali kuongeza mvuto wa kitalii hasa ukitazama kariakoo ni kitovu cha biashara. Katika yale maegesho ya magari kutakuwa na tozo kutokana chombo husika cha usafiri kinavyokaa.
  • Masoko ya Wilaya
Ili kupunguza mlundikano wa watu kufuata mahitaji eneo moja serikali ijenge masoko makubwa ya wilaya ili wakazi husika waweze kupata mahitaji muhimu yote ambayo wanalazimika kwenda kufuata eneo la mijini watavipata apo itabaki ni chaguo la mtu kama anataka kwenda kufuata mjini, hii itakuza uchumi wa wilaya husika na ukusanyaji wa mapato utaongezeka.

2. Kuanzisha Utalii Bandia
Tanzania imekuwa ikitegemea mapato ya utalii kutokana na vyanzo vya asili kwa kiwango kikubwa mfano hifadhi na mlima kilimanjaro na maeneo ya kihistoria ivyo kuna haja kujifunza kutoka kwenye nchi za wenzetutu ambazo hazina utalii wa asili mfano dubai lakini kuna watalii wengi wanaenda kutokana na utalii wa kutengezwa uliofanyika ukiwa na vivutio mbalimbali vipi kwetu sisi ambao tumewazidi kwanini mtu aishie kupanda mlima kilimanjaro pekee na mbuga za wanayama kwanini tusianzishe utalii wa kutengeza kabla mtu ajapanda mlima anakutana nao kabla mtu hajaenda kwenye hifadhi anakutana nao iyo itasaidia watalii wengi kurudi na kuongezeka na kutokuwa na utalii unaozoleke mtu hatamani kurudi tena, tutumie vijana na watalaamu wasanifu mbalimbali wawasilishe mawazo yao na muyapime hii itaongeza pato la serikali.
3. Uwekezaji Sekta ya michezo na Sanaa
Kuna vitu ambavyo tunaweza kufanya kama serikali inawezekana wanamichezo wetu timu za taifa hazifanyi vizuri kimataifa lakini haimaanishi kuwa atuwezi kuwa na viwanja bora na vya kisasa tukaomba kuwa wenyeji wa kombe la dunia ata kama timu yetu haitachukua kombe, haimaniishi kuwa atuwezi kutengeza viwanja amabyo vitawezesha mashindano ya formula one yasifanyike Tanzania ata kama hatuna watu wa kushindana, miundo mbinu inawezekana kutengengenezwa kila mkoa ili kukuza uchumi wa mikoa husika na kuongeza vivutio vingine na hii si kwa mchezo mmoja ata mieleka unaweza kuileta hapa kama una miundo mbinu tujaribu kufikiria je endapo tutafanikiwa watu wangapi watakuja kuangalia kutoka nchi mbalimbali.

4. Kupunguza Posho, Mishahara kwa wabunge na viongozi wa umma
Imekuwa jambo la kasumba watu siasa kuwa mtaji wa maisha yao ivyo wataaalamu na watu wengi wameacha nia ya kutumikia nchi kwa maendeleo bali wanakimblia siasa kwakuwa watajinufaisha ivyo ili kupunguza matumizi mabaya ya kodi za wananchi ambazo watu wamekuwa wakizimkimbilia kuzichota, mishara ya wabunge ipungue mpaka milioni tatu abakie na fursa zingine ili siasa iwe ni kazi ya wito wa kujitolea kama ambavyo walimu wamekuwa wakiambiwa lakini hawajawai kufikia kulipwa mshahara wa milioni 5. Ivyo ivyo mishahara ipungue kwa viongozi wengine wa umma ambao wanatumikia jamii na si kufuata fedha na mishahara.

5. Kuondosha Magari ya Kifahari kwa watumishi wa umma
Ripoti ya CAG inaonyesha watumishi wa umma wengi wamekuwa wakikwapua mamilioni ya shilingi fedha ambazo ni jasho la wananchi na wamekuwa wakiishi maisha ya kiutumishi kwa kutumia vyombo vya anasa vinavyonunuliwa kutokana na kodi ya bibi yangu aliyekosa soko la kuuza mazao yake kijijini. Machinga ambaye amekuwa akibugudhiwa na migambo ivyo. Mtumishi wa umma hataki gari la kifahari bali anaitaji chombo kitakacho msaidia kutekeleza majukumu yake ya nje ya ofisi ivyo yale magari ya bei kubwa ambayo yanatumia gharama kuyahudumia serikali iyaondoe yabaki machache kwa ngazi ya waziri mkuu, makamu wa raisi na raisi. Wengine wanunuliwe magari imara ya kazi ( economic transport)

6. Kufilisi wale wote wanakutwa na hatia ya kufanya ubadhilifu wa mali za umma
Kutokana na ripoti ya CAG kuna madudu mengi yameonyeshwa kwa fedha nyingi za maendeleo kupotelea kwenye mikono ya watumishi waliopewa dhamana kadri ambavyo hawachukuliwi hatua wizi umekuwa ukiongezeka kwasababu wahusika hawana hofu kwani wanajua ata ripoti ikitoka hamna wa kuwafanya kitu.

Naamini tukianza kufanya hayo machache ambayo ni rasihi kutekelezeka naamini seriali itapata vyanzo vingi vya kukusanya mapato na kutatua changamoto mbalimbali ambazo jamii inakabiliana nazo katika huduma mbalimbali na kuacha kufikiria kila endapo inahitaji kuongeza mapato mtu wa kwanza kumfikiria ni mwanchi kwa kumuongezea kodi katika sehemu mbalimbali. Na kuwa na Tanzania yenye kukua haraka kwa miaka 25 mbeleni na inayokuja.

Asanteni 🙏✍️
 
Upvote 1
VYANZO VIPYA VYA MAPATO
Kumekuwa na kodi na tozo mbalimbali ambazo zimekuwa zikiwagusa wananchi na zingine zimekuwa zikiwaumiza kutokana na kushuka thamani ya fedha ya Tanznia dhidi ya dola na hii inakuja kwasababu serikali haina vyanzo vipya vingi vya mapato vipo vile vile ambavyo kiuhalisia kutokana na ongezeko la idadi ya wananchi na mahitaji vyanzo vili vilivyopo havitoshelezi kutatua huduma mbalimali za wananchi kwakuwa ivyo mzigo unangukia kwa wanachi serikali ipo kwa jaili ya kuwatumikia wananchi basi ifanye mambo yafuatayo yatakayosaidia kupunguza maumivu kwa wananchi wake.

1. Kuanzisha Mageti ya Jiji
Kuna muingiliano mkubwa wa watu katika majiji ya tanzania mfano mzuri ni daresalaam yenye idadi kubwa ya watu ambapo watu mbalimbali wamekuwa wakienda kufuata mahitaji yao kariakoo ikiwemo na nchi za jirani. Hii imesababisha foleni za vyombo vya usafiri katikati ya mji. Changamoto hii tunaweza kuitatua kwa kugeuza fursa ya utalii na chanzo cha mapato kwa njia mbili
  • Kuanzisha maegesho ya wilaya
Serikali ianzishe maegesho ambayo safari zote za kuelekea katikati ya mji zitaishia hapo na kwa kuanzia tutaanzia dar mfano watu wanaotoka Mbagala vyompo vya usafiri vyote vitaenda kupaki keko na wanaotoka njia ya gongo la mboto wataishia tazara na wanaotoka kinondoni wataishia salender bridge na wanaopitia njia ya morogoro road wataishia Jangwani au magomeni na wa kigamboni wataishia kivukoni kwani ukiangalia watu wote kwenye njia izo wanaenda posta au kariakoo kufuata mahitaji. Ivyo kuanzia kwenye mwisho wa hizo safari kutakuwa na Treni za umeme, city tax na City puplic transport buses, ambao zitapita katika maeneo muhimu wananchi wanafuata mahitaji yao au kwenda ofisini kwa gharama nafuu hii haitakuwa kutatua tatizio la foleni pekee bali kuongeza mvuto wa kitalii hasa ukitazama kariakoo ni kitovu cha biashara. Katika yale maegesho ya magari kutakuwa na tozo kutokana chombo husika cha usafiri kinavyokaa.
  • Masoko ya Wilaya
Ili kupunguza mlundikano wa watu kufuata mahitaji eneo moja serikali ijenge masoko makubwa ya wilaya ili wakazi husika waweze kupata mahitaji muhimu yote ambayo wanalazimika kwenda kufuata eneo la mijini watavipata apo itabaki ni chaguo la mtu kama anataka kwenda kufuata mjini, hii itakuza uchumi wa wilaya husika na ukusanyaji wa mapato utaongezeka.

2. Kuanzisha Utalii Bandia
Tanzania imekuwa ikitegemea mapato ya utalii kutokana na vyanzo vya asili kwa kiwango kikubwa mfano hifadhi na mlima kilimanjaro na maeneo ya kihistoria ivyo kuna haja kujifunza kutoka kwenye nchi za wenzetutu ambazo hazina utalii wa asili mfano dubai lakini kuna watalii wengi wanaenda kutokana na utalii wa kutengezwa uliofanyika ukiwa na vivutio mbalimbali vipi kwetu sisi ambao tumewazidi kwanini mtu aishie kupanda mlima kilimanjaro pekee na mbuga za wanayama kwanini tusianzishe utalii wa kutengeza kabla mtu ajapanda mlima anakutana nao kabla mtu hajaenda kwenye hifadhi anakutana nao iyo itasaidia watalii wengi kurudi na kuongezeka na kutokuwa na utalii unaozoleke mtu hatamani kurudi tena, tutumie vijana na watalaamu wasanifu mbalimbali wawasilishe mawazo yao na muyapime hii itaongeza pato la serikali.
3. Uwekezaji Sekta ya michezo na Sanaa
Kuna vitu ambavyo tunaweza kufanya kama serikali inawezekana wanamichezo wetu timu za taifa hazifanyi vizuri kimataifa lakini haimaanishi kuwa atuwezi kuwa na viwanja bora na vya kisasa tukaomba kuwa wenyeji wa kombe la dunia ata kama timu yetu haitachukua kombe, haimaniishi kuwa atuwezi kutengeza viwanja amabyo vitawezesha mashindano ya formula one yasifanyike Tanzania ata kama hatuna watu wa kushindana, miundo mbinu inawezekana kutengengenezwa kila mkoa ili kukuza uchumi wa mikoa husika na kuongeza vivutio vingine na hii si kwa mchezo mmoja ata mieleka unaweza kuileta hapa kama una miundo mbinu tujaribu kufikiria je endapo tutafanikiwa watu wangapi watakuja kuangalia kutoka nchi mbalimbali.

4. Kupunguza Posho, Mishahara kwa wabunge na viongozi wa umma
Imekuwa jambo la kasumba watu siasa kuwa mtaji wa maisha yao ivyo wataaalamu na watu wengi wameacha nia ya kutumikia nchi kwa maendeleo bali wanakimblia siasa kwakuwa watajinufaisha ivyo ili kupunguza matumizi mabaya ya kodi za wananchi ambazo watu wamekuwa wakizimkimbilia kuzichota, mishara ya wabunge ipungue mpaka milioni tatu abakie na fursa zingine ili siasa iwe ni kazi ya wito wa kujitolea kama ambavyo walimu wamekuwa wakiambiwa lakini hawajawai kufikia kulipwa mshahara wa milioni 5. Ivyo ivyo mishahara ipungue kwa viongozi wengine wa umma ambao wanatumikia jamii na si kufuata fedha na mishahara.

5. Kuondosha Magari ya Kifahari kwa watumishi wa umma
Ripoti ya CAG inaonyesha watumishi wa umma wengi wamekuwa wakikwapua mamilioni ya shilingi fedha ambazo ni jasho la wananchi na wamekuwa wakiishi maisha ya kiutumishi kwa kutumia vyombo vya anasa vinavyonunuliwa kutokana na kodi ya bibi yangu aliyekosa soko la kuuza mazao yake kijijini. Machinga ambaye amekuwa akibugudhiwa na migambo ivyo. Mtumishi wa umma hataki gari la kifahari bali anaitaji chombo kitakacho msaidia kutekeleza majukumu yake ya nje ya ofisi ivyo yale magari ya bei kubwa ambayo yanatumia gharama kuyahudumia serikali iyaondoe yabaki machache kwa ngazi ya waziri mkuu, makamu wa raisi na raisi. Wengine wanunuliwe magari imara ya kazi ( economic transport)

6. Kufilisi wale wote wanakutwa na hatia ya kufanya ubadhilishu wa mali za umma
Kutokana na ripoti ya CAG kuna madudu mengi yameonyeshwa kwa fedha nyingi za maendeleo kupotelea kwenye mikono ya watumishi waliopewa dhamana mchango waochukuliwi hatua wizi umekuwa ukiongezeka kwa sababu wahusika hawana hofu kwani ata ripoti ikitoka hamna wa kufanya kitu.

Naamini tukianza kufanya hayo machache ambayo ni rasihi kutekelezeka naamini seriali itapata vyanzo vingi vya kukusanya changamoto na kufikiria kutatua changamoto mbalimbali ambazo jamii inakabiliana katika huduma mbalimbali na kuacha kuacha kuweka akizungumzia ujumbe wa kwanza kumtamkia mwananchi kwa kumuongezea kodi sehemu mbalimbali. Na kuwa na Tanzania yenye kukua haraka kwa miaka 25 mbeleni na inayokuja.

Asanteni 🙏✍️
Naungana na hoja yako ingawa ina makosa mengi ya kiuandishi upongezwe imebeba pointi muhimu
 
Shukrani Sana mkuu nitarekebisha na kuwa makini kwenye maandiko mengine ntakayo wasilisha
 
Back
Top Bottom