A
Anonymous
Guest
Licha ya juhudi kubwa zinazofanywa na Rais Mama Samia kutaka uhifadhi uwe sehemu ya utalii Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umekuwa sehemu ya kupuuza maagizo ya serikali, viongozi, kusababisha migogoro na kituo cha unyanyasaji wawekezaji katika mashamba ya Miti na Misitu pamoja na jamii inayozunguka.
Juhudi kubwa zinahitajika kufumua Kitengo cha UWEKEZAJI na SHUGHULI ZA JAMII, kuwaleta wataalam waliokuwa na uzoefu kwani kinachofanyika sasa ni ukiukwaji au kurudisha jitihada kubwa zinazofanywa na serikali yetu chini ya Rais anayetaka kuona mabadiliko na rasilimali za nchi zinawanufaisha wananchi wake.
TFS imekuwa na watu wachache wenye maslahi binafsi, chuki, kutotekeleza majukumu kwa kufuata Sheria na taratibu, utelelezaji hafifu wa mfumo wa jeshi usu, wabinafsi huku wakifanya kazi kwa mazoea na kulindwa na kikundi cha TFS Mtandao (Shamba la misitu na Makao Makuu).
TFS imekuwa ikiuza mashamba kwa wakulima na baadhi kukodisha kwa hela kubwa, kuwa sehemu ya migogoro ya mipaka kwa wananchi na kudidimiza shughuli za UWEKEZAJI huku wakijinadi kuwa hakuna mtu yeyote yule anaeweza kuwachukulia hatua.
Tunaiomba serikali ifatilie kiwango cha UWEKEZAJI ndani ya TFS na iundwe tume maalum chini ya Wizara au Serikali na ifanye kikao na wadau wa UWEKEZAJI TFS watapata mengi ambayo yatasaidia kuchukua hatua na kubadilisha mfumo.
Miongoni mwa watu waliopo kwenye mifumo hiyo anaitwa TANGO afuatiliwe na kuchunguzwa.
Pamoja na baadhi ya wahifadhi sio waminifu na hawana sifa. TFS imekuwa ikifanya vibaya katika sekta ya utalii kiasi cha kukosa mara kadhaa tuzo huku taasisi changa kama TAWA zikiendelea kujitwalia tuzo kadhaa.
Tunaiomba serikali yetu ilinde wawekezaji bila kujali ni wa nje au mzawa kwani sekta hii binafsi ni muhimu katika kuchangia pato la Taifa, ajira na utelelezaji wa dira ya Taifa.W