Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kwenye maeneo yote yenye maendeleo aidha kwenye familia au jamii au walipokaa watu kwenye tafrija tunakutana na vyakula vifuatavyo;
1. Wali
2. Pilau
3. Viazi (chips)
4. Nyama
5. Ndizi nk
Ugali umetengwa nakufanywa siyo chakula chakuliwa na watu maalumu. Sijajua tatizo ni chakula cha masikini au nichakula ghali kuandaa mtanisaidia. Hata kwenye uzuni pia Napo ugali unaanza kuondolewa na ukipikwa msibani watakula wenyeji ila wageni watapewa wali.
Kama waliofanikiwa wanaukataa ugali, kama waliopiga hatua wanaukataa ugali, na kama Sisi watu wa kipato cha chini hatutaki mgeni kwetu aje ale ugali....je ugali NI chakula cha matajiri au masikini?
Lakini pia kuukataa ugali tena WA Dona NI ujanja au ushamba? Kwanini sasa serikali isiweke siku ya Ugali Tanzania ambayo watu watakula ugali kama chakula cha siku kukipandisha Hadhi chakula hiki kilichotukuza?