bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Wafanyakazi wanatakiwa kupewa hiyo elimu kila baada ya muda (at least miaka 5) ili kuwatayarisha psychologically kwamba unatakiwa ujitayarishe na mapema sana (labda kuanza miaka 30), unasave kidogo kidogo na unaanza kujenga kidogo kidogo.Watalaamu wa semina hizo wapo ila hawajitokezi. Kila mtu anapaswa kushauriwa kulingana na jinsi alivyo siyo kama alivyosema Mh Mtaka anakandia kujenga nyumba
Lakini ukiishia kwenye kunywa bia au mabibiz kama vijana wa humu wanavyojisifu kweli mtu utaanguka kwa pressure ukifikia kustaafu.