DreezyD98
JF-Expert Member
- Nov 6, 2020
- 1,610
- 2,874
๐๐๐๐ viti vya chuma kama shule za sekondaryhuyo mwamba kulia hapo ,mbona kama hafatilii hata hicho kipindi chenyewe ....๐คฃ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐ viti vya chuma kama shule za sekondaryhuyo mwamba kulia hapo ,mbona kama hafatilii hata hicho kipindi chenyewe ....๐คฃ
Anawaza aliambiwa Chuo bata sasa anashangaa anasoma akiwa nje ya venuehuyo mwamba kulia hapo ,mbona kama hafatilii hata hicho kipindi chenyewe ....๐คฃ
๐๐๐๐Anawaza aliambiwa Chuo bata sasa anashangaa anasoma akiwa nje ya venue
mkuu kwani kilimo kinafanyika mjini walioanzisha kozi walifanya utafiti kabla ya kuanzishaNiliwahi kusema huko nyuma ya kwamba course kama Rural Development si kozi za hadhi ya kufundishwa SUA, kama vipi chuo kiitwe Sokoine University tu, neno Agriculture liondolewe maana haiwezekani kozi ambazo zinaweza kufundishwa hata udom na Jordan, KIU n.k zifundishwe SUA
Jamaa anatia huruma kama wale jamaa waliolizwa na Q-net ๐๐๐๐๐
๐๐๐Jamaa anatia huruma kama wale jamaa waliolizwa na Q-net ๐
Umeandika kama unakimbizwa vipi haukuwa na credible source?Wakuu habari zenu hapa ndani?
Nimeandika uzi huu kwa ajili ya kusaidia maendeleo ya taifa na ustawi wa jamii kwa ujumla, hii ni kutokana na ukweli kuwa taasisi nyingi za serikali zinaendeshwa kwa utendaji mbovu, sasa leo naandika machache kuhusu chuo cha kilimo cha sokoine (SUA), kilichopo Morogoro.
1. Ndio chuo chenye umaskini wa hali ya juu, yaani ni kawaida kabisa kukuta wahadhiri wake wakilalamika kukosa pesa za kuendelezwa sababu tu chuo hakina pesa wakati huohuo vyuo vingine mambo yanaenda vizuri tu.
2. Miundombinu ya chuo hasa kufundishia ni mibovu na imechoka sana (nitaambatanisha picha ya wanafunzi wakisomea nje ilhali lecturer yuko ndani).
3. Chuo kina wakufunzi WENGI ambao wamesoma hapohapo na hata mkiitwa interview wengi watachukua wanafunzi waliosoma hapohapo,hii imesababisha hali ya kutohoji utendaji wa viongozi wa chuo.
4. Magari ya chuo yana hali mbaya,na uongozi haujali wala haufatulii hili (kiambatanisho kipo).
5. Kuna rushwa kubwa ya ngono chuoni, hasa kwa wahadhiri na wale watu wa hostel, wanataka sana rushwa kwa wanafunzi hasa wa kike.
6. Barabara za chuo hazikidhi vigezo vya chuo kikuu, tena hapa uongozi umejinasibu kuwa umetengeneza barabara ila ni kwa kiwango duni sana pesa itakua imeliwa.
7. Vitendea kazi (mfano projector) vya kufundishia havipo kwa baadhi ya vitivo na kwa wenye navyo basi vipo vichache sana.
Naandika uzi huu kuomba serikali ifatilie utendaji kazi wa chuo hiki, yawezekana kabisa VC wa chuo anafanya kazi nzuri sana ila kuna utaratibu mbovu wa watu wa chini yake.
Kwakwel Uongozi wa Sua ni shida, ESM na Brd wafundishwa partial huku wakilazimishwa kwenda field mwez wa pili wakati idadi kubwa hawana pesa za kujikimu huko waendako, wajitafakar kabla ya kutenda
... kwa maelezo haya, katika World University Ranking 2020, SUA inaweza kuwa ya ngapi?Wakuu habari zenu hapa ndani?
Nimeandika uzi huu kwa ajili ya kusaidia maendeleo ya taifa na ustawi wa jamii kwa ujumla, hii ni kutokana na ukweli kuwa taasisi nyingi za serikali zinaendeshwa kwa utendaji mbovu, sasa leo naandika machache kuhusu chuo cha kilimo cha sokoine (SUA), kilichopo Morogoro.
1. Ndio chuo chenye umaskini wa hali ya juu, yaani ni kawaida kabisa kukuta wahadhiri wake wakilalamika kukosa pesa za kuendelezwa sababu tu chuo hakina pesa wakati huohuo vyuo vingine mambo yanaenda vizuri tu.
2. Miundombinu ya chuo hasa kufundishia ni mibovu na imechoka sana (nitaambatanisha picha ya wanafunzi wakisomea nje ilhali lecturer yuko ndani).
3. Chuo kina wakufunzi WENGI ambao wamesoma hapohapo na hata mkiitwa interview wengi watachukua wanafunzi waliosoma hapohapo,hii imesababisha hali ya kutohoji utendaji wa viongozi wa chuo.
4. Magari ya chuo yana hali mbaya,na uongozi haujali wala haufatulii hili (kiambatanisho kipo).
5. Kuna rushwa kubwa ya ngono chuoni, hasa kwa wahadhiri na wale watu wa hostel, wanataka sana rushwa kwa wanafunzi hasa wa kike.
6. Barabara za chuo hazikidhi vigezo vya chuo kikuu, tena hapa uongozi umejinasibu kuwa umetengeneza barabara ila ni kwa kiwango duni sana pesa itakua imeliwa.
7. Vitendea kazi (mfano projector) vya kufundishia havipo kwa baadhi ya vitivo na kwa wenye navyo basi vipo vichache sana.
Naandika uzi huu kuomba serikali ifatilie utendaji kazi wa chuo hiki, yawezekana kabisa VC wa chuo anafanya kazi nzuri sana ila kuna utaratibu mbovu wa watu wa chini yake.
Sehemu kubwa ya kozi za SUA lazima zifundishwe na mwal mwenye similar background2.Ajira ziwe kwa kila MTU ,sio mpaka aliyesoma sua ( trust me kama hujasoma sua una asilimiaa 2% ya kutoboa usaili kama waliosoma sua wapo humu
SUA watamkumbuka Prof. Bangu( mungu amuweke mahala pema peponi).wengine hata wenye PhD bado hawajitambui.Wakuu habari zenu hapa ndani?
Nimeandika uzi huu kwa ajili ya kusaidia maendeleo ya taifa na ustawi wa jamii kwa ujumla, hii ni kutokana na ukweli kuwa taasisi nyingi za serikali zinaendeshwa kwa utendaji mbovu, sasa leo naandika machache kuhusu chuo cha kilimo cha sokoine (SUA), kilichopo Morogoro.
1. Ndio chuo chenye umaskini wa hali ya juu, yaani ni kawaida kabisa kukuta wahadhiri wake wakilalamika kukosa pesa za kuendelezwa sababu tu chuo hakina pesa wakati huohuo vyuo vingine mambo yanaenda vizuri tu.
2. Miundombinu ya chuo hasa kufundishia ni mibovu na imechoka sana (nitaambatanisha picha ya wanafunzi wakisomea nje ilhali lecturer yuko ndani).
3. Chuo kina wakufunzi WENGI ambao wamesoma hapohapo na hata mkiitwa interview wengi watachukua wanafunzi waliosoma hapohapo,hii imesababisha hali ya kutohoji utendaji wa viongozi wa chuo.
4. Magari ya chuo yana hali mbaya,na uongozi haujali wala haufatulii hili (kiambatanisho kipo).
5. Kuna rushwa kubwa ya ngono chuoni, hasa kwa wahadhiri na wale watu wa hostel, wanataka sana rushwa kwa wanafunzi hasa wa kike.
6. Barabara za chuo hazikidhi vigezo vya chuo kikuu, tena hapa uongozi umejinasibu kuwa umetengeneza barabara ila ni kwa kiwango duni sana pesa itakua imeliwa.
7. Vitendea kazi (mfano projector) vya kufundishia havipo kwa baadhi ya vitivo na kwa wenye navyo basi vipo vichache sana.
Naandika uzi huu kuomba serikali ifatilie utendaji kazi wa chuo hiki, yawezekana kabisa VC wa chuo anafanya kazi nzuri sana ila kuna utaratibu mbovu wa watu wa chini yake.
Mwanafunzi wake alimfundish chemistry ,sengerema sec.form twoHuyo vc sijui jiwe alimuokota wapi usikute ni amepewa u-vc kwa ajili usukuma.Picha ziko wapi mleta mada