Serikali ifuatilie utendaji wa uongozi wa Chuo cha Kilimo cha Sokoine (SUA)

Katavi university of agriculture ilijifia wapi aisee hii ccm ni laana kabisa Kwa elimu yetu
 
mkuu kwani kilimo kinafanyika mjini walioanzisha kozi walifanya utafiti kabla ya kuanzisha
 
Umeandika kama unakimbizwa vipi haukuwa na credible source?
 
Kwakwel Uongozi wa Sua ni shida, ESM na Brd wafundishwa partial huku wakilazimishwa kwenda field mwez wa pili wakati idadi kubwa hawana pesa za kujikimu huko waendako, wajitafakar kabla ya kutenda
 
[emoji3][emoji3] poleni sana wanangu wa ESM, Dkt mtoni, Prof Malisa, Prof Tungalaza, Dkt Ligate, Dkt Mwalilino, Dkt Mjemah n.k ESM mtaani imekuwa changamoto Sana ajira zakuunga unga sana
Kwakwel Uongozi wa Sua ni shida, ESM na Brd wafundishwa partial huku wakilazimishwa kwenda field mwez wa pili wakati idadi kubwa hawana pesa za kujikimu huko waendako, wajitafakar kabla ya kutenda
 
... kwa maelezo haya, katika World University Ranking 2020, SUA inaweza kuwa ya ngapi?
 
2.Ajira ziwe kwa kila MTU ,sio mpaka aliyesoma sua ( trust me kama hujasoma sua una asilimiaa 2% ya kutoboa usaili kama waliosoma sua wapo humu
Sehemu kubwa ya kozi za SUA lazima zifundishwe na mwal mwenye similar background
 
SUA watamkumbuka Prof. Bangu( mungu amuweke mahala pema peponi).wengine hata wenye PhD bado hawajitambui.
 
yanayosemwa hapa yafuatiliwe hasa haya ya ngono na wanafunzi kwani sheria zipo wazi kabisa. Tunaomba Takukuru, Usalama na wanaharakati fuatilieni haya kwa ukaribu kuwashikisha adabu haya mabazazi.
 
Huyo vc sijui jiwe alimuokota wapi usikute ni amepewa u-vc kwa ajili usukuma.Picha ziko wapi mleta mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…