Serikali ifunge ukurasa wa Ben Saanane ukweli ujulikane

Labda kama hata shetani mwenyewe anaweza kutubu akasamehewa...
Kutubu kazi ndugu,badala ya kutubu unaongeza dhambi.
Unapotubu kama uliua,unatakiwa umtaje yule uliemuua ,Kama Ni mmoja wawili au zaidi.ukificha hapo umesema uongo,na hivyo unakua umetenda dhambi zaidi.
Je huyo mtubuji anaweza kumwambia mtubishaji kuwa aliua wangapi?
Halafu fikiria unatubu mbele ya Askofu.
 
Mimi niliumia sana kwa kweli maana alijulikana kabisa kwamba ameuawa na wakatili sema ndio hivyo tena hatuna jinsi yeyote zaidi ya kumuombea Mwenyezi Mungu amrehemu...
 
mwana kulifind mwana kuliget.

harakati zikirenga umaarufu mwisho wake huwa sio mzuri.
sina uhakika kama jamaa aliuawa,lakini kwa kazi aliyokuwa amejipa,hakutumwa na mtu yeyote.hata wazazi wake sidhani kama wangemuunga mkono.
 
Huyu jamaa katika uzi huu post # 44 aliwahi kuandika hivi. Bila ya shaka ni mmoja wa wahusika wa kupotea kwa Ben Saanane

Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali TumainiEl
 
Nimesoma huu mchango, nikataka kuandika lakini nikaona nisitie neno.....
 
 
Tafuta gazeti la MwanaHalisi lilisema DJ anajua alipo huyo mtu
 
Kule kukariri tarakimu, kuhadaa watu - kiasi cha samaki waliomo ziwani/baharini?
Kilomita za barabara zilizojengwa
Ma-DED wanaoshindwa kutema tarakimu kwenye mkutano wanatumbuliwa hapo kwa hapo - yote hayo kujionyesha usomi!

Mwisho, wakati anaondoka hata hakujua hasara iliyosababishwa na ununuzi wa ndege kiholela!

Huyo bwana alikuwa ni mpenda sifa ambazo hakuzistahili hata kidogo. Matatizo yake yalikuwa yanaanzia hapo, kutafuta sifa.

Sina matumaini makubwa na huyu mama, kwamba anaweza akaleta mabadiliko chanya zaidi ya hali iliyopo sasa. Kwanza tu, hicho chama chake hakieleweki kipo wapi wakati huu. Atahangaika sana na chama chake hata kama atakuwa anataka kufanya mabadiliko nje ya chama hicho, achia mbali ndani ya chama chenyewe.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Mmekwisha ambiwa mtumie mabango kupeleka ujumbe,ni golden chance.
 
Naimani ben akimkuta mwendazake huko ahera madukani lazima amwue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…