Serikali ifunge ukurasa wa Ben Saanane ukweli ujulikane

Serikali ifunge ukurasa wa Ben Saanane ukweli ujulikane

Wakati ule kuizungumzia shahada ya uzamivu ya mtawala ilikuwa ni sawa kabisa na kujitoa muhanga. Hata kwenda pale maktaba ya UDSM kule East Africana kuiomba tu kwa ajili ya kuifanyia rejea ilikuwa ni jambo lenye kuhitaji uthubutu uliopitiliza.
ni sawa na upande ule wa pili pendwa ambapo kujaribu kugombea uenyekiti ni sawa na kuonja sumu (nukuu ya mbowe kwa sumaye) ben aanze kuulizwa mwenyekiti wake anamajibu
 
PUzuriii Mama amesema anaendeleza yale lplpmppMazuri,mabaya anayaacha yaende na mwendau "uzuri" ni subjective kupotea kwa Ben ni uzuri kwa kwa wengine hasa walio husika na upotevu wake.
 
Niseme wazi kuwa sikuwahi kuwa fan wa Ben Saanane Kwa lolote lile lakini Kwa sababu alikuwa member mwenzetu hapa nilimuona kama mtu wa karibu au ninaefahamiana nae hivi sababu ya kushiriki pamoja mijadala mbalimbali hapa JF.

Alipoanza kuandikia gazeti la Raia mwema na kuanza kuhoji PHD ya Magufuli binafsi sikuwahi kuwa na interest na huo mjadala. Kwanza niliuona hauna maana sana. Pili niliona hautaweza badilisha lolote Kwa hiyo ni kama anajisumbua.

Ilipoanza kutangazwa kapotea nilistuka sana..binafsi nilifikiri labda kajificha ili apate attention kubwa akiibuka tena. Lakini hadi leo hatuna majibu sahihi hasa nini kilimkuta Ben Saanane.

Alipofariki Magufuli nikahisi labda alikuwa amefungwa rumande kimyakimya na sasa ataachiliwa lakini hadi sasa naona kimya kabisa.

Natamani sasa ukweli ujulikane tuweze funga ukurasa kama yupo hai aachiwe.

Kama alikufa ijulikane alikufaje?

Wahusika kina nani?Mwili upo wapi?

Ilikuwa kusudi au ajali kwenye interogation?

Naaamin familia yake inahitaji kujua ukweli na Sisi wengine tuzungumze kitu kilichothibitishwa.

Nafikiri wakati wa ukweli kujulikana umefika.

Familia na marafiki waombe kumuona Rais asaidie uchunguzi tupate majibu
Kwakifupi wafunge kurasa za watu wasiojulikana kwa matukio yao yote
 
Tutamuenzi #bravo Ben saanane mabandiko, harakati, na mchango wake wa uhuru wa kujieleza na kuhoji

Damu yake na maarifa yake ya dumu kwa harakati zote za uhuru, haki na maendeleo ya watu
 
Wakati ule kuizungumzia shahada ya uzamivu ya mtawala ilikuwa ni sawa kabisa na kujitoa muhanga. Hata kwenda pale maktaba ya UDSM kule East Africana kuiomba tu kwa ajili ya kuifanyia rejea ilikuwa ni jambo lenye kuhitaji uthubutu uliopitiliza.
Kama upo sahihi na kweli umepita shule na ni yako hofu ya nn.Hofu ndio uleta shaka.Pili hata ukichukua maamuzi bado aibadilishi feki kuwa original.
 
Andika tu mkuu, Tanzania ni yetu sote na uhuru wa kujieleza ni moja ya haki zetu za msingi. Na sasa umerudi baada ya Mwendazake kufurushwa duniani
Sio kufurushwa ni kupangiwa majukumu mengine aliyoyaomba yupo kwenye training jinsi ya kuongoza malaika
 
Reasoning capacity yake ilikuwa chini Sana ni mzuri kwenye claiming capacity
 
Duniani ogopa vitu viwili 1.Usimwage damu ya mtu.
2 Usimwage machozi ya watu.
Hivi vitu viwili havina kinga ya kujifichia hakuna mganga wala shetani atakaeweza kukukinga na laana yake ni lzm utaondoka tu.
 
Nilikuwa nimewasiliana na Ben siku moja kabla ya kutoweka kwake, nalazimika kusamehe wahusika kwa sababu tu, nisiposamehe sitasamehewa,but niliumia sanaa kutoweka kwa Ben
 
Namna pekee ya kupata ukweli wa Ben Saanane ni kukamata makende ya Makonda, unambinya mpaka asimamishe mb..o yake isiyosimama. Lazima ataweka ukweli wote

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom