ni sawa na upande ule wa pili pendwa ambapo kujaribu kugombea uenyekiti ni sawa na kuonja sumu (nukuu ya mbowe kwa sumaye) ben aanze kuulizwa mwenyekiti wake anamajibuWakati ule kuizungumzia shahada ya uzamivu ya mtawala ilikuwa ni sawa kabisa na kujitoa muhanga. Hata kwenda pale maktaba ya UDSM kule East Africana kuiomba tu kwa ajili ya kuifanyia rejea ilikuwa ni jambo lenye kuhitaji uthubutu uliopitiliza.
mnapata tabu sana aiseeeSome hooligans. Wanamuita mwendazake eti shujaa wa Africa sheeeh!!! Shujaa my ushuzi. [emoji849][emoji15]
That dead man was full of shits .
Thanks ,he has gone for good .
PUzuriii Mama amesema anaendeleza yale lplpmppMazuri,mabaya anayaacha yaende na mwendau "uzuri" ni subjective kupotea kwa Ben ni uzuri kwa kwa wengine hasa walio husika na upotevu wake.
Shikamoo Stuxnet, mwambie mhudumu akuongezee unachokunywa utalipiwa mkuu.Namna pekee ya kupata ukweli wa Ben Saanane ni kukamata makende ya Makonda, unambinya mpaka asimamishe mb..o yake isiyosimama. Lazima ataweka ukweli wote
Kwakifupi wafunge kurasa za watu wasiojulikana kwa matukio yao yoteNiseme wazi kuwa sikuwahi kuwa fan wa Ben Saanane Kwa lolote lile lakini Kwa sababu alikuwa member mwenzetu hapa nilimuona kama mtu wa karibu au ninaefahamiana nae hivi sababu ya kushiriki pamoja mijadala mbalimbali hapa JF.
Alipoanza kuandikia gazeti la Raia mwema na kuanza kuhoji PHD ya Magufuli binafsi sikuwahi kuwa na interest na huo mjadala. Kwanza niliuona hauna maana sana. Pili niliona hautaweza badilisha lolote Kwa hiyo ni kama anajisumbua.
Ilipoanza kutangazwa kapotea nilistuka sana..binafsi nilifikiri labda kajificha ili apate attention kubwa akiibuka tena. Lakini hadi leo hatuna majibu sahihi hasa nini kilimkuta Ben Saanane.
Alipofariki Magufuli nikahisi labda alikuwa amefungwa rumande kimyakimya na sasa ataachiliwa lakini hadi sasa naona kimya kabisa.
Natamani sasa ukweli ujulikane tuweze funga ukurasa kama yupo hai aachiwe.
Kama alikufa ijulikane alikufaje?
Wahusika kina nani?Mwili upo wapi?
Ilikuwa kusudi au ajali kwenye interogation?
Naaamin familia yake inahitaji kujua ukweli na Sisi wengine tuzungumze kitu kilichothibitishwa.
Nafikiri wakati wa ukweli kujulikana umefika.
Familia na marafiki waombe kumuona Rais asaidie uchunguzi tupate majibu
Nikikwambia uje nikuelekeze, utakuja? Ahahahahahahah!!!!
Usisahau kuvaa T shirt yako ya CWT ili iwe rahisi kukutambua!Nitakuja boss.
Usisahau kuvaa T shirt yako ya CWT ili iwe rahisi kukutambua!
Andika tu mkuu, Tanzania ni yetu sote na uhuru wa kujieleza ni moja ya haki zetu za msingi. Na sasa umerudi baada ya Mwendazake kufurushwa dunianiNimesoma huu mchango, nikataka kuandika lakini nikaona nisitie neno.....
Kama upo sahihi na kweli umepita shule na ni yako hofu ya nn.Hofu ndio uleta shaka.Pili hata ukichukua maamuzi bado aibadilishi feki kuwa original.Wakati ule kuizungumzia shahada ya uzamivu ya mtawala ilikuwa ni sawa kabisa na kujitoa muhanga. Hata kwenda pale maktaba ya UDSM kule East Africana kuiomba tu kwa ajili ya kuifanyia rejea ilikuwa ni jambo lenye kuhitaji uthubutu uliopitiliza.
Sio kufurushwa ni kupangiwa majukumu mengine aliyoyaomba yupo kwenye training jinsi ya kuongoza malaikaAndika tu mkuu, Tanzania ni yetu sote na uhuru wa kujieleza ni moja ya haki zetu za msingi. Na sasa umerudi baada ya Mwendazake kufurushwa duniani
Mola kamlipia lakini
Kwani Shetani naye ana malaika?Sio kufurushwa ni kupangiwa majukumu mengine aliyoyaomba yupo kwenye training jinsi ya kuongoza malaika
Namna pekee ya kupata ukweli wa Ben Saanane ni kukamata makende ya Makonda, unambinya mpaka asimamishe mb..o yake isiyosimama. Lazima ataweka ukweli wote