Serikali ifute Div 4 na 0. Hazina tija yoyote kwenye ulimwengu wa leo! Halafu ipunguze Div 1 kuna pointi nyingi sana Div 1.

CCM Music

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2018
Posts
1,036
Reaction score
1,784
Zibaki Div 1, 2 na 3.

Just imagined matokeo ya mitihani ina range from point 7 hadi 35 Kwa O level. Uwingi wote wa nini?

A level point 3 hadi 20s huko.

What the meaning of all these many numbers?

Div 1 inaanza 7, 8, 9, 10, 11, unaendelea kuchanja mbuga hadi 17 dah a very long safari.

Div one A level point 3, 4 unaendelea hadi 9 huko. Tena ukipata C flat hio ni Div one advance. Hii ina logic sasa???? C merely means average!

Kuwepo na cheti kwa waliopata Div one hadi three. Wale waliokosa Div one/two/three wapewe Cheti of appreciation ya kuhudhuria O/A level secondary na hakuna daraja, kwamba tuna appreciate juhudi zake pia.

Cheti cha Div 4 na O zenye F nyingi km zote ni udhalilishaji wa utu wa binadamu.

CCM halla!
 
Kwani siku hz div 4 na 0 wanapewa cheti ? Duuh !!

Anyway, hoja yako Ina mashiko
 
Kweli mkuu mimi cheti changu cha A level kina S ya physics yaani sikipendi kinyama hua natamani hata kukichoma na nikifikisha miaka 40 hakitakuwa na kazi tena ntakitambaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…