Serikali ihakikishe mechi zote za Simba za kimataifa zinachezwa uwanja wa Mkapa

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,476
Wasalaam,

Hongera kwa jamii yote ya wapenda maendeleo ya mpira nchini kwa mafanikio ya Simba SC kutinga nusu fainali ya CAFCC 2024-25.

Bila kusema mengi, baada ya mechi ya marudiano ya Simba vs Al Masry, serikali ilitoa tamko kuwa uwanja unafungwa kwa matengenezo na kwamba Simba itafute uwanja mwingine wa kuchezea mechi zake za kimataifa.

Niikumbushe serikali kuwa mafanikio ya Simba ni mafanikio ya taifa zima. Simba imefanya mengi kuubrand uwanja wa Mkapa. Haya mafanikio pia yanasaidia kuibrand nchi na yanadumu kwa vizazi na vizazi kwa hiyo ni muhimu kuyachukulia kwa uzito unaostahili.

Ningeshauri zoezi la matengenezo ikiwemo la kubadilisha viti kwa kipindi hiki cha miezi 2 iliyobaki lingekuwa linafanyika kwa awamu ili lisiathiri mahitaji hayo ya Simba kwa kipindi hiki.

Kama barabara na madaraja yanajengwa huku utaratibu unatengenezwa kwa watumiaji kuendelea kutumia barabara hizo hizo kipindi cha matengenezo, naamini pia hilo linaweza kufanyika kwa uwanja wa Mkapa kwa kipindi hiki kifupi cha miezi miwili iliyobaki.

Simba bingwa wa CAFCC 2024-25.
 
Ilo swala la uwanja CAF wameibeba sana Tanzania kwakua kama Nchi tuliekekezwa sehemu gani ilihitajika kufanyiwa marekebisho.
Tanzania tukaleta ubabaishaji wakaguzi wakaja na ki ujanja ujanja wakaupitisha ili mechi ya shirikisho ichezewe uwanja uo.

Sasa kwenye Mechi hii iliyopita Commissioner wa CAF mchezo lazima ata andika mapungufu yote yaliyotokea katika mchezo uo.

Mbaya zaidi Alma sry walikua wakichukua video za uwanja na eneo la kuchezea na inasenekana pamoja na malalamiko mengine qaliyonyatuma CAF wameweka na Hoja ya eneo la kuchezea alikua katika kiwango cha kuchezea mechi za CAF.
Kwaiyo ata serikali iruhusu kuchezea, CAF ndio watatoa maamuzi kulingana na taarifa za metch Commissioner wa mchezo husika.
 
naunga mguu hoja
 
Ila duu! bilioni 30 ya matengenezo ya uwanja ilikuwa changa la macho,

Kwakujizima data tusime matumizi mazuri ya pesa, CCM mitano tena ili mundelee kupiga Hela za uwanja

Wametumia vizuri pesa hadi sisi wajinga na wapumbavu tumegundua kwamba zimetumika vizuri ushahidi ni uwanja, (pitch), yaani pitch ni nzuri sana, mitano tena
 
Kinacholiliwa hapa ni nguvu za kishirikina zinazotumika kwa Mkapa na wala hakuna kingine
 
Wasalaam,

Hongera kwa jamii yote ya wapenda maendeleo ya mpira nchini kwa mafanikio ya Simba SC kutinga nusu fainali ya CAFCC 2024-25.

Bila kusema mengi, baada ya mechi ya marudiano ya Simba vs Al Masry, serikali ilitoa tamko kuwa uwanja unafungwa kwa matengenezo na kwamba Simba itafute uwanja mwingine wa kuchezea mechi zake za kimataifa.

Niikumbushe serikali kuwa mafanikio ya Simba ni mafanikio ya taifa zima. Simba imefanya mengi kuubrand uwanja wa Mkapa. Haya mafanikio pia yanasaidia kuibrand nchi na yanadumu kwa vizazi na vizazi kwa hiyo ni muhimu kuyachukulia kwa uzito unaostahili.

Ningeshauri zoezi la matengenezo ikiwemo la kubadilisha viti kwa kipindi hiki cha miezi 2 iliyobaki lingekuwa linafanyika kwa awamu ili lisiathiri mahitaji hayo ya Simba kwa kipindi hiki.

Kama barabara na madaraja yanajengwa huku utaratibu unatengenezwa kwa watumiaji kuendelea kutumia barabara hizo hizo kipindi cha matengenezo, naamini pia hilo linaweza kufanyika kwa uwanja wa Mkapa kwa kipindi hiki kifupi cha miezi miwili iliyobaki.

Simba bingwa wa CAFCC 2024-25.
Mnazika mbuzi uwanjani unategemea patakuwa na uwanja tena hapo.

Huyo Mwamedi mnayemuabudi mwambieni ajenge Mo Arena uwanja wa viwango vya CAF, mbona Azam wamejenga na uwanja wao una viwango vya CAF?
 
Wacheze wapi mkuu nao hao ndio wawakilishi pekee wenye nafasi ya kudumu pale caf..pendekezo Camara na Mukwala wapewe uraia simba ibadilishwe kuwa timu ya taifa...
 
Back
Top Bottom