DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
naunga mguu hojaWasalaam,
Hongera kwa jamii yote ya wapenda maendeleo ya mpira nchini kwa mafanikio ya Simba SC kutinga nusu fainali ya CAFCC 2024-25.
Bila kusema mengi, baada ya mechi ya marudiano ya Simba vs Al Masry, serikali ilitoa tamko kuwa uwanja unafungwa kwa matengenezo na kwamba Simba itafute uwanja mwingine wa kuchezea mechi zake za kimataifa.
Niikumbushe serikali kuwa mafanikio ya Simba ni mafanikio ya taifa zima. Simba imefanya mengi kuubrand uwanja wa Mkapa. Haya mafanikio pia yanasaidia kuibrand nchi na yanadumu kwa vizazi na vizazi kwa hiyo ni muhimu kuyachukulia kwa uzito unaostahili.
Ningeshauri zoezi la matengenezo ikiwemo la kubadilisha viti kwa kipindi hiki cha miezi 2 iliyobaki lingekuwa linafanyika kwa awamu ili lisiathiri mahitaji hayo ya Simba kwa kipindi hiki.
Kama barabara na madaraja yanajengwa huku utaratibu unatengenezwa kwa watumiaji kuendelea kutumia barabara hizo hizo kipindi cha matengenezo, naamini pia hilo linaweza kufanyika kwa uwanja wa Mkapa kwa kipindi hiki kifupi cha miezi miwili iliyobaki.
Simba bingwa wa CAFCC 2024-25.
Ila duu! bilioni 30 ya matengenezo ya uwanja ilikuwa changa la macho,Ilo swala la uwanja CAF wameibeba sana Tanzania kwakua kama Nchi tuliekekezwa sehemu gani ilihitajika kufanyiwa marekebisho.
Tanzania tukaleta ubabaishaji wakaguzi wakaja na ki ujanja ujanja wakaupitisha ili mechi ya shirikisho ichezewe uwanja uo.
Sasa kwenye Mechi hii iliyopita Commissioner wa CAF mchezo lazima ata andika mapungufu yote yaliyotokea katika mchezo uo.
Mbaya zaidi Alma sry walikua wakichukua video za uwanja na eneo la kuchezea na inasenekana pamoja na malalamiko mengine qaliyonyatuma CAF wameweka na Hoja ya eneo la kuchezea alikua katika kiwango cha kuchezea mechi za CAF.
Kwaiyo ata serikali iruhusu kuchezea, CAF ndio watatoa maamuzi kulingana na taarifa za metch Commissioner wa mchezo husika.
Mnazika mbuzi uwanjani unategemea patakuwa na uwanja tena hapo.Wasalaam,