Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WAZO BORA Kabisa kama kweli MUUNGANO ni WADHATI basi Wazanzibar wahamishiwe Huko na wa huku waende KuleHili likifanyika itakuwa rahisi kuanzisha serikali moja tu na kuweka umoja wa kitaifa.
Wananchi wanataka uchumi mzuri na sio kuwa na serikali nyingi. Pia itasaidia kuondoa ubaguzi wa kidini uliopo Zanzibar.
Tatizo wanafundishwa tangu utoto wao kuwa wabaguzi ndio maana hata wakija huku na kufurahia matunda ya muungano bado yale mafunzo yamebaki kichwani.Robo ya wazanzibar tayari iko bara na bado hawajaacha ubaguzi,utamkuta mpemba kigoma ndani ndani kaoa huko na watoto juu lakini ndoto zake kila siku hataki muungano
Mtu utoke bara uende Kisiwa Ndui ukafe kwa umaskini?!Hili likifanyika itakuwa rahisi kuanzisha serikali moja tu na kuweka umoja wa kitaifa.
Wananchi wanataka uchumi mzuri na sio kuwa na serikali nyingi. Pia itasaidia kuondoa ubaguzi wa kidini uliopo Zanzibar.