Serikali iifuatilie sana familia ya Mbowe na CHADEMA kuna uhaini kupitia Corona

Masanjaone

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2019
Posts
844
Reaction score
598
Mh. Mbowe (mb) nakiongozi wa upinzani bungeni (kub) wakati mh Rais anatangaza tahadhari ya ugonjwa wa corona, mh mbowe alitangaza kuwa ifikapo tar.4 apr 2020 chama chake kianze mikutano nchi nzima bila kujari zuio hilo.

Baada ya mda mfupi kiongozi mwandamizi wa chadema Dar es salaam akatoa tangazo akisisitiza mikutano hiyo kufanyika bila kujari ugonjwa na tahadhari iliyokuwa imetolewa na serikali.

baada ya mda mfupi mh. Mbowe alitangaza kuzuia mikutano sababu ikitajwa corona bila kujari nahata kuhojiwa imekuwaje mda huo anakataza mikutano wakati alitangaza ndani ya tahadhari?

Mda mfupi baadae tena! Mh mkuu wa mkoa wa dar es salaam paul makonda alitangaza kuwa familia ya mbowe kupitia mtoto wake ameugua corona nahivyo kututahadharisha wananchi kuwa karibu na familia ya mbowe pamoja na yy mbowe mwenyewe.

Baada ya mda mfupi mtoto wa mbowe alijitokeza akimkejeri makonda kuwa hakuwa msemaji wa familia ya mbowe kuhusu gonjwa hili la kitaifa.

lakini haikuchukua mda baada ya mtoto wa mbowe kumkejeri makonda mh mbowe alijitokeza hadhari kumtangaza mwanae kuwa ni mgonjwa wa corona kitu kilichoperekea yy na familia yke kujiweka karantini na mtoto kuperekwa hospital.

NILICHO KIONA KATIKA HILI naona kuna uhaini!
mh mboe yawezekana aliamua kufanya makusudi ili asambaze ugonjwa huu kwa sababu zifuatazo:

1.asingekuwa mh makonda je! Mboe na familia yake wangesambaza ugonjwa huu nchi nzima.

2.alikuwa anataka tufunge mipaka ya nchi nawatu wasifanye kazi ila bunge lienderee . hii inamaana serikali ilivyoacha kufunga naona aliamua kusambaza ugonjwa huu ili asingizie kwamba hatukufunga mipaka.

3.mboe amekutana na kikundi chake mara ngapi ndani ya chadema? Nakama ndivyo atakuwa amefanya kwa makusudi

Tumshukuru mh. Makonda vinginevyo taifa lingeasirika pakubwa sana.

hii niwazi kuwa mboe amesambaza sana ugonjwa hivyo tujitahidi kuchukua tahadhari na ushauri wa wataaram wetu wa afya kupunguza maambukizi tusiwe km mbowee maana sikila mshukiwa atatangazwa na mkuu wa mkoa wa dar es salaam

wanachadema muwe makini maana hatujui mbowee kakutana na wanachama wake wangapi.
........................................
 
Kibaraka
 
...Kwa hivyo Mkuu, U Great Thinker wako wrote uliojaliwa Bure na Mungu wetu Mwema Umeishia hapo?? Pole Sana....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilichonijia akilini Mara moja ni kuwa huyo Bwana Paulo Makonda au kwa jina halisi Albert Bashite yuko humu akiwa na ID nyingi tofauti.
Itafika mahali tutazi identify ili kupunguza ujinga uliozidi humu.
 
Uwahi sana! Utasaidia na kesi ya kisutu baina jmt na jf iishe haraka.
 
Bata kachafua hapa!
 
Hapa mleta mada ametumia kiungo gani kufikiri wakuu?
 
  • Dislike
Reactions: UCD

Ngosha unaelewa maana ya Uhaini au unaropoka tu?!
 
Umekosa vyote akili na utu!!
Pole...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bandiko lako is nonses. Haitasaidia kumsafisha mtu aliewadharau Maboss wake.

Kama angekuwa na hoja kwanini akaitishe mikutano kumtangaza mgonjwa badala ya kuwasiliana na wenye mamlaka juu ya gonjwa hili la corona??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uhakika tangazo la mbowe na katazo la mikusanyiko,, kipi kilianza..?????

uFalla sana huo,,
 
Mh. Mbowe (mb) nakiongozi wa upinzani bungeni (kub) wakati mh Rais anatangaza tahadhari ya ugonjwa wa corona, mh mbowe alitangaza kuwa ifikapo tar.4 apr 2020 chama chake kianze mikutano nchi nzima bila kujari zuio hilo.

Baada ya mda mfupi kiongozi mwandamizi wa chadema Dar es salaam akatoa tangazo akisisitiza mikutano hiyo kufanyika bila kujari ugonjwa na tahadhari iliyokuwa imetolewa na serikali.

baada ya mda mfupi mh. Mbowe alitangaza kuzuia mikutano sababu ikitajwa corona bila kujari nahata kuhojiwa imekuwaje mda huo anakataza mikutano wakati alitangaza ndani ya tahadhari?

Mda mfupi baadae tena! Mh mkuu wa mkoa wa dar es salaam paul makonda alitangaza kuwa familia ya mbowe kupitia mtoto wake ameugua corona nahivyo kututahadharisha wananchi kuwa karibu na familia ya mbowe pamoja na yy mbowe mwenyewe.

Baada ya mda mfupi mtoto wa mbowe alijitokeza akimkejeri makonda kuwa hakuwa msemaji wa familia ya mbowe kuhusu gonjwa hili la kitaifa.

lakini haikuchukua mda baada ya mtoto wa mbowe kumkejeri makonda mh mbowe alijitokeza hadhari kumtangaza mwanae kuwa ni mgonjwa wa corona kitu kilichoperekea yy na familia yke kujiweka karantini na mtoto kuperekwa hospital.

NILICHO KIONA KATIKA HILI naona kuna uhaini!
mh mboe yawezekana aliamua kufanya makusudi ili asambaze ugonjwa huu kwa sababu zifuatazo:

1.asingekuwa mh makonda je! Mboe na familia yake wangesambaza ugonjwa huu nchi nzima.

2.alikuwa anataka tufunge mipaka ya nchi nawatu wasifanye kazi ila bunge lienderee . hii inamaana serikali ilivyoacha kufunga naona aliamua kusambaza ugonjwa huu ili asingizie kwamba hatukufunga mipaka.

3.mboe amekutana na kikundi chake mara ngapi ndani ya chadema? Nakama ndivyo atakuwa amefanya kwa makusudi

Tumshukuru mh. Makonda vinginevyo taifa lingeasirika pakubwa sana.

hii niwazi kuwa mboe amesambaza sana ugonjwa hivyo tujitahidi kuchukua tahadhari na ushauri wa wataaram wetu wa afya kupunguza maambukizi tusiwe km mbowee maana sikila mshukiwa atatangazwa na mkuu wa mkoa wa dar es salaam

wanachadema muwe makini maana hatujui mbowee kakutana na wanachama wake wangapi.
........................................
Nicompoop
 
Back
Top Bottom