Serikali iifuatilie sana familia ya Mbowe na CHADEMA kuna uhaini kupitia Corona

Pumbaav
 
'Masanja' nyumbani kabisa ni wapi?

Huu uandishi unashabihiana sana na uandishi wa mtu aliyepata sifuri kidato cha nne na ambae alijaribu jaribu kila mahali mara uvuvi mara ushirika moshi ambako nako alianguka sababu ya kushindwa kuandika na kusoma vizuri.
 
Mbowe alitangaza mikutano kabla ya serikali kutangaza kusitisha mikusanyiko lakini cha ajabu serikali hiyo hiyo kupitia mh rais na mtoto wake mpendwa ndo wanakusanya vijiji na kuanza kuleta siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpumbavu mwingine wa afrika mashariki
 
Wewe utakuwa unafikiri kutumia makalio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha dah hii ndo JF ya kizazi kipya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtatawala mtaondoka mtamuacha mbowe, walikuja akina magesa mulongo wakaondoka, wakaja akina nape nnaye wakondoka wakaja akina makamba wakaondoka wakaja akina wasira wakaondoka wakamuacha mbowe sembuse washamaba wataondoka watamuacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe bashite, hebu tuambie huyo MBOE ni nani?
 
Rubbish...akili huna umejaa msambwanda tu ww bashite
 
Libashite utalitambua tu domo pana ka limemeza nanilii linatoa maushuzi tu...sasa umekuja na ujinga gani huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…