ROGATH MCHAU
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 569
- 1,012
MkuuMh. Mbowe (mb) nakiongozi wa upinzani bungeni (kub) wakati mh Rais anatangaza tahadhari ya ugonjwa wa corona, mh mbowe alitangaza kuwa ifikapo tar.4 apr 2020 chama chake kianze mikutano nchi nzima bila kujari zuio hilo.
Baada ya mda mfupi kiongozi mwandamizi wa chadema Dar es salaam akatoa tangazo akisisitiza mikutano hiyo kufanyika bila kujari ugonjwa na tahadhari iliyokuwa imetolewa na serikali.
baada ya mda mfupi mh. Mbowe alitangaza kuzuia mikutano sababu ikitajwa corona bila kujari nahata kuhojiwa imekuwaje mda huo anakataza mikutano wakati alitangaza ndani ya tahadhari?
Mda mfupi baadae tena! Mh mkuu wa mkoa wa dar es salaam paul makonda alitangaza kuwa familia ya mbowe kupitia mtoto wake ameugua corona nahivyo kututahadharisha wananchi kuwa karibu na familia ya mbowe pamoja na yy mbowe mwenyewe.
Baada ya mda mfupi mtoto wa mbowe alijitokeza akimkejeri makonda kuwa hakuwa msemaji wa familia ya mbowe kuhusu gonjwa hili la kitaifa.
lakini haikuchukua mda baada ya mtoto wa mbowe kumkejeri makonda mh mbowe alijitokeza hadhari kumtangaza mwanae kuwa ni mgonjwa wa corona kitu kilichoperekea yy na familia yke kujiweka karantini na mtoto kuperekwa hospital.
NILICHO KIONA KATIKA HILI naona kuna uhaini!
mh mboe yawezekana aliamua kufanya makusudi ili asambaze ugonjwa huu kwa sababu zifuatazo:
1.asingekuwa mh makonda je! Mboe na familia yake wangesambaza ugonjwa huu nchi nzima.
2.alikuwa anataka tufunge mipaka ya nchi nawatu wasifanye kazi ila bunge lienderee . hii inamaana serikali ilivyoacha kufunga naona aliamua kusambaza ugonjwa huu ili asingizie kwamba hatukufunga mipaka.
3.mboe amekutana na kikundi chake mara ngapi ndani ya chadema? Nakama ndivyo atakuwa amefanya kwa makusudi
Tumshukuru mh. Makonda vinginevyo taifa lingeasirika pakubwa sana.
hii niwazi kuwa mboe amesambaza sana ugonjwa hivyo tujitahidi kuchukua tahadhari na ushauri wa wataaram wetu wa afya kupunguza maambukizi tusiwe km mbowee maana sikila mshukiwa atatangazwa na mkuu wa mkoa wa dar es salaam
wanachadema muwe makini maana hatujui mbowee kakutana na wanachama wake wangapi.
........................................
Nafikiri ni kalio.. Na lilivyo kubwaHapa mleta mada ametumia kiungo gani kufikiri wakuu?
Kwani Mbowe hataondoka ? Yeye ni nani ? Hapo sikuungi mkono. Pole sanaMtatawala mtaondoka mtamuacha mbowe, walikuja akina magesa mulongo wakaondoka, wakaja akina nape nnaye wakondoka wakaja akina makamba wakaondoka wakaja akina wasira wakaondoka wakamuacha mbowe sembuse washamaba wataondoka watamuacha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndio mnaotumwa kuua wengine. Pia akili yako mbovu unatoka kwa akina bashite.Mh. Mbowe (mb) nakiongozi wa upinzani bungeni (kub) wakati mh Rais anatangaza tahadhari ya ugonjwa wa corona, mh mbowe alitangaza kuwa ifikapo tar.4 apr 2020 chama chake kianze mikutano nchi nzima bila kujari zuio hilo.
Baada ya mda mfupi kiongozi mwandamizi wa chadema Dar es salaam akatoa tangazo akisisitiza mikutano hiyo kufanyika bila kujari ugonjwa na tahadhari iliyokuwa imetolewa na serikali.
baada ya mda mfupi mh. Mbowe alitangaza kuzuia mikutano sababu ikitajwa corona bila kujari nahata kuhojiwa imekuwaje mda huo anakataza mikutano wakati alitangaza ndani ya tahadhari?
Mda mfupi baadae tena! Mh mkuu wa mkoa wa dar es salaam paul makonda alitangaza kuwa familia ya mbowe kupitia mtoto wake ameugua corona nahivyo kututahadharisha wananchi kuwa karibu na familia ya mbowe pamoja na yy mbowe mwenyewe.
Baada ya mda mfupi mtoto wa mbowe alijitokeza akimkejeri makonda kuwa hakuwa msemaji wa familia ya mbowe kuhusu gonjwa hili la kitaifa.
lakini haikuchukua mda baada ya mtoto wa mbowe kumkejeri makonda mh mbowe alijitokeza hadhari kumtangaza mwanae kuwa ni mgonjwa wa corona kitu kilichoperekea yy na familia yke kujiweka karantini na mtoto kuperekwa hospital.
NILICHO KIONA KATIKA HILI naona kuna uhaini!
mh mboe yawezekana aliamua kufanya makusudi ili asambaze ugonjwa huu kwa sababu zifuatazo:
1.asingekuwa mh makonda je! Mboe na familia yake wangesambaza ugonjwa huu nchi nzima.
2.alikuwa anataka tufunge mipaka ya nchi nawatu wasifanye kazi ila bunge lienderee . hii inamaana serikali ilivyoacha kufunga naona aliamua kusambaza ugonjwa huu ili asingizie kwamba hatukufunga mipaka.
3.mboe amekutana na kikundi chake mara ngapi ndani ya chadema? Nakama ndivyo atakuwa amefanya kwa makusudi
Tumshukuru mh. Makonda vinginevyo taifa lingeasirika pakubwa sana.
hii niwazi kuwa mboe amesambaza sana ugonjwa hivyo tujitahidi kuchukua tahadhari na ushauri wa wataaram wetu wa afya kupunguza maambukizi tusiwe km mbowee maana sikila mshukiwa atatangazwa na mkuu wa mkoa wa dar es salaam
wanachadema muwe makini maana hatujui mbowee kakutana na wanachama wake wangapi.
........................................
Mara ya kwanza mlidhani Corona Ni masihara mpaka mkawa mnamdhihaki Mbowe nadhani Sasa hivi akili zimewakaa sawaMh. Mbowe (mb) nakiongozi wa upinzani bungeni (kub) wakati mh Rais anatangaza tahadhari ya ugonjwa wa corona, mh mbowe alitangaza kuwa ifikapo tar.4 apr 2020 chama chake kianze mikutano nchi nzima bila kujari zuio hilo.