system hacker
JF-Expert Member
- Mar 13, 2022
- 426
- 709
Tuache siasa kwa kila kitu.
Hizi associations mbalimbali za kitaluuma ziwe zina address solutions mbalimbali kwenye changamoto za kijamii kuliko ku pose kisiasa tu.
Chama cha Engineers, Chama cha wanasheria, Chama cha makarani, chama cha madalali, chama cha Wapangaji, chama cha wahasibu, chama cha wajasiriamali, n.k.
Hawa ndio wanaofahamu mtaani kukoje kiuhalisia. Hawa ndio wanaokaa na wenye njaa moja kwa moja.
Viongozi wetu wengi wana shibe na mwenye shibe hajui mwenye njaa. Pia viongozi wengi wapo mbali sana na wananchi.
Hawajui hata adha ya foleni halafu unamwambiaje kuhusu foleni na akakuelewa?
Serikali iimarishe usimamizi na uendeshaji wake kiasi kwamba wanakuwa na uwezo wa ku address solutions mbalimbali za changamoto kwenye jamii.
Hii itasaidia sana Serikali kupata uhalisia wa mtaani.