DOKEZO Serikali iimulike hospitali ya Mloganzila, Huduma zake ni janga kwa wagonjwa na ndugu wanaouguza pale

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kama hakun hosptali nyingine hii jamani sitotibiwa pale na hakuna nitakaemshauri afikenpale bora ufie hosptali za kata mloganzila ni lango la kifo
 
Mtu kupata rufaa kutoka Muhimbili -Upanga hadi Mlonganzila ni kwamba hizo hospital zina level mbili tofauti?
 
Kama Huna Bima ya kueleweka Na maisha ya chini , Ki ufupi ni kuwa TUNZA AFYA YAKO SANA . Itokee bahati mbaya kufika hospitali na sio kwasababu ya uzembe wa kutunza Afya

Nje na hapo Kwa Hospitali zenu Ni kwa Bahati kwenda na kurudi salama
Hivi nawaambiaga Baadhi ya ndugu zangu. Suala la afya Tanzania chini ya utawala wa CCM ni biashara kubwa sana. Wanaosikia wanasikia
 
Mtu kupata rufaa kutoka Muhimbili -Upanga hadi Mlonganzila ni kwamba hizo hospital zina level mbili tofauti?
Ukiona umepewa transfer kutoka muhimbili kwenda Mloganzila ujue uwezekano wa kufa ni zaidi ya 60%
 
Huenda ni mbinu ili kila mtu awe na bima. Angalia kwa wenye bima bili inakuja ngapi kwenye simu zao?
 
Kwa uhalisia ni kuwa tutafute hela ili tuache lalamika
 
Ni kweli, tuliguza pale Kila siku tulikuwa tunalipa 200,000/- na huduma zao zinasuasua.
Wamejaa vidaktari vidogovidogi tu
 
Viongozi hawawezi kuweka Ruzuku ya maana huko, sababu itabidi wajipunguzie kwenye posho zao, magari yao ya kifahari, dili zao nakadhalika.
 
Mloganzira ni kituo cha Kifo. Hapanogi hata kwa Asali, Lol
 
Kiola kona tuna daiwa jamani tusipokamuliwa Watawala hawataweza kumudu gharama za maisha. Ama tugome tusiugue au tuugue tutozwe hizo gharama.

Mnaweza kuta vile vitanda tulipewa kwa mkopo hatukuambiwa tu, sasa tunalipia kimya kimya. Kwanini Watawala nao wasilzwe huko angalau warudishe kidogo kwa serikali?

Mishahara yao mikubwa kodi hawalipi, na gharama nyingi tunawalipia, kama mafuta,matengenezo ya magari, na sasa hadi nyumba zao za kuishi wakistaafu tunawajengea sisi. Lakini wakiugua wanakwenda nje na bado tunawalipia sisi duh, ngoja nisubirie nami nakachukuwe form nigombee ubunge, Utawala raha jamani manfanya nini uswahilini?
 
Hospitali ya kuweka Maputo tumboni na kuongeza makalio
 
Halafu watu wakishalewa kimpumu kivhafu utaeasikia wakiimba. CCM mbele kwa mbele.
Ndugai alisemaga nchi itapugwa mnada, chawa wakashangikia Sana Ndugai alivyoonyeshwa geti la kutokea.
Sasa hivi omba Sana usiumwe.
 
Mloganzila kikwetu ni mchawi wa kuzimu yaani njia ya kuzimu.
Lawama ziwe kwenu pia,hongo zipo kila mahali ila angalia penye unafuu.
Mngempa nesi buku 50 tu mnyamala pale angewasindikiza mpaka getini mkapumzike salama atawapigia mtoto akiwa tayari.
Kwasisi tuliopitia kadhia ya hospitali hizi tunajua.
Siku nilipiga mzinga icu badae kushonwa,huduma bila kutoa buku5 wauguzi wanakupita tu na madaktari wao.
Siku narudi kutoa nyuzi muuguzi kagoma kutoa nikapenyeza rupia dah.
Yaani ikawa si nyuzi tena,nyuzi zilitolewa kwa mahaba,huku nimepakatwa kitandani humo wodini.
Na hilo janamke la haja lina uniform kigauni fulani hivi kifupi kiko juu, huo mpaja sasa na anatoa zile nyuzi mbona nilipona fasta tu.
Aisee nilikuja mtawanya yule dada alikoma kunitania.
Yaani ile elfu 10 alilipa zaidi ya mara 10.
Siku anajua huyu mtu hayupo alilia km mbwa mwitu.
 
Kuna ndugu naye amelazwa na mtoto hapo ni muda sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…