Serikali iingilie kati Makanisa ya Miujiza? Watanzania masikini wa kutupwa wanakamuliwa mamilioni kwa utapeli huku wahubiri wakigeuka mamilionea

Magaidi yametambuliwa huku:

Israel na Marekani wapewa za uso UNGA

Hata makenya hayayataki! 🀣🀣

Mnabanwa kote, poleni
 

Kunyongwa hata kina Ken Sorrowiwa, Dedan Kimathi na wengine wengi walinyongwa.

Hawa kuhukumiwa kunyongwa Kuna tatizo Gani? Usisahau kuwa Kuna rufaa achia mbali Tanzania si Kenya. Hanyongwi mtu huku.

Nikiwarejea hawa, kama cause yao ni kama ISIS au Al shabaab basi hao ni wafia dini kama wewe tu. Kwamba na wewe ni mwenzao, ila upande mwingine wa shilingi tu.

Tofautisha hao na Hamas wagawa dozi ya dawaquine!

 

Wamehukumiwa kulipua kanisa, dunia haitafumbia macho maupuzi yenu, mtauawa sana Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo
 
Wakristo ndio walitakiwa waanze kukemea hayo mambo kabla ya serikali ila wao wenyewe wamekaa kimya tu.
 
Wamehukumiwa kulipua kanisa, dunia haitafumbia macho maupuzi yenu, mtauawa sana Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

Bado Kuna rufaa wewe ni nani kuthibitisha tuhuma zao? Nimesema pia kama cause yao ni ya dini kama wewe kama ISIS, hao ni wenzako.

Nimesisitiza Dedan Kimathi, alinyongwa kwenye cause kama ya Hamas, bila shaka ulipo unakenua kumbeza!

Bure kabisa!
 
Kwanza Makanisa hayafanyi miujiza. Pili! Unajuaje kuwa wanatumia uchawi, unaweza kithibitisha? Tatu! "masikini wa kutupwa" anatoa wapi mamilioni ya kukamuliwa?
 
Kwahyo Kuna bakuli ulipitishiwa uwachangie Israel?
 

πŸ˜€πŸ˜€

Kuona nabii au kuhani mchaga inanifanya nitabasamu sana.
Watani zangu mpo vizuri. 😊😊
 
Naunga mkono hoja.
Kuna kanisa la kkkt hapa Dar Mchungaji alikuwa akijinasbu kuwa anaombea wagonjwa wanapona, akiombea wamama wanaokoda kupata watoto sasa wanapata.

Ghafla akaanza kujenga hospitali eti watu watibiwe nikajiuliza zile shuhuda za kuombewa mpaka kupona kuna kitu gani kimetokea, kumbe issue ni maokoto. Huku waumini wanachangishwa hela ili wajenge hospital. Ndo maana sekta ya dini ndo pekee inaonekana kiuchumi na afya ya viongozi wake iko vzr.
 
Pia serikali itupie jicho wananchi waliopumbazwa kiimani hadi kufunga safari ndefu za hizi hija za kwenda Roma, Jerusalem, Mecca na Karbala.

Huku ni kupoteza mamilioni ya fedha za kigeni badala ya kutukuza miungu yetu ya asili iliyo jirani nasi.

Tazama kupitia video hii watu wanavyoishi Jericho, Ramallah, Jerusalem wa imani tofauti bila uhasama

View: https://m.youtube.com/watch?v=qPB0yohLIsU
 
Dugu fia dini brain washee kindaki ndaki kuliko ISIS.

Kazi kweli kweli.

Nimependa sana kuona Tanzania imeamua kutocheka na upuzi wenu
 

Unatapa tapa hujui unaandika kwa mada ipi. Kuwahusu masheikh washtakiwa Arusha tusome huku kujiridhisha:

Napinga masheikh sita wa Kiislamu kupewa adhabu ya kunyongwa hadi kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…