Serikali iingilie kati Makanisa ya Miujiza? Watanzania masikini wa kutupwa wanakamuliwa mamilioni kwa utapeli huku wahubiri wakigeuka mamilionea

Ogopa sana haya makanisa feki ya mitume manabii na makuhani hayo makanisa huwa siingii hata kidogo kuna nguvu za giza sana yani ukifika humo unakuwa mjinga wa akili na mpumbavu mpaka ufilisike kabisa ni waganga wa kienyeji hao
 
Hao manabii ni waganga konki, wanatoa ramli chonganishi, wanaficha uganga kwa kumtumia Yesu. Watimuliwe haraka, hata ndoa za watu zipo mashakani. Unakuta mke wa mtu anamuamini huyo mhubiri fake kuliko bwana wake.
 
..,Ndio maana Tapeli ' Kiboko ya Wachawi' aliwaingiza Wengi Mkenge!!!....na badohawakomi. 'Watu wangu wanaamhamia Kwa Kukosa Maarifa' !....Kweli.
Nimemuona Nabii mmoja kwenye TV saa nane mchana akiwaambia kondoo wake kwamba watapokea dola toka USA na kwa mamlaka aliyopewa na Yesu wa Nazareth yule "Mbabe" atafungua mikoba yake na dola zitiririke mifukoni mwa hao kondoo! Kondoo walikuwa na furaha ya ajabu kama mazuzu kwa kuahidiwa dola. Kumbuka ni saa nane, watu badala ya kuchacharika wapo kanisani wanaomba dola ziteremke kama mana toka mawinguni. Ama kweli "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa". BTW, hapo mbele linaonekana kapu kubwa ambalo kondoo wanaweka shilingi za kitanzania kama sadaka.
 
Duh

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…