RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,189
- 1,690
Umenena mtumishi ubarikiwe sanaMadhabahu ya Yesu inajengwa, kwani Kuhani atakaa pale ndani...
Acheni watu wafanye kwa Imani zao...
Mimi pia sikubaliani na utapeli unaoendelea kwa baadhi yao. Lakini na wewe mwanasheria usiyejua madhara ya uhuru wa kuabudu; utatumia kigezo gani kujua huyu yuko sawa, huyu hapana?Wanabodi
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za kwa maslahi ya taifa. Topic ya leo, ni kutoa wito kwa Serikali yetu kuingilia kati kitu kinachoendelea kwenye baadhi ya makanisa ya wakovu yanayojinasibu kufanya miujiza, kutoa mapepo, kutoa uchawi na kufanya miujiza ya uponyaji?.
Baadhi ya wahubiri hawa wanatumia nguvu za giza za kiini macho kwa kitu kinachoitwa auto suggestion kwa Watanzania Masikini wa Kutupwa, kuaminishwa umasikini wao ni kwasababu wamelogwa, hivyo ili kuuondoa uchawi wa umasikini, unatakiwa kufanya appointment kumuona Mtumishi, ambapo utapangiwa kiwango cha fedha kumuona mtumishi.
Kwenye matangazo yao kupitia redio na TV, unaambiwa njoo na sadaka yako bila kuambiwa kiwango. Ukifika kanisani,
utaandikishwa na kuambiwa kiwango cha kumuona mtumishi akueleze jinsi ulivyologwa na ni nani amekuloga. Kiwango kilianzia 10,000, baadae ikawa 20,000, ikapanda kuwa 50,000, 100,000 sasa ni 200,000.
Unatakiwa kuitafuta hiyo pesa popote ulipe ndipo umuone mtumishi. Hivyo ni waumini wenye pesa tuu ndio watamuona mtumishi!.
Baada ya kuingia kumuona, mtumishi atakuambia prophesy yako na ku conclude matatizo yako yote, ya kiuchumi, umasikini, maradhi, au majanga yoyote, ni umelongwa na watu wa jijijini kwako!.
Baada ya hapo sasa ndio utapewa bili ya sadaka. Mtumishi atajifanya anamuuliza Mungu, then unaambiwa Mungu amesema njoo na sadaka ya milioni 2, 5, 10, 20, kutegemea na ukubwa wa tatizo lako, ya kuleta hiyo sadaka ndipo Mungu atalimaliza tatizo lako!.
Kutokana na wewe kuwa ni tayari umesha pigwa ganzi, utakwenda kuzitafuta hizo pesa na kuzileta cash!.
Watanzania masikini wa kutupwa, wanakamuliwa mamilioni kwa utapeli, na baadhi ya hawa ma Pastor, huku hao ma Pastor na wahubiri wakineemeka na kuageuka mamilionea na mabilionea huku wakivuta mi ndinga ya nguvu!.
Kuna Mama mmoja alifiwa na mtoto wake, the only son, amedanganywa mtoto wake hajafa, amechukuliwa tuu kichawi, mama kaambiwa akatafute sadaka kiasi fulani, arejeshewe mwanae!, huyo mama ana haha kusaka hiyo pesa ili kumrejesha mwanae!.
Japo haya ni mambo ya imani, na waumini wanakwenda wenyewe kwa hiyari yao na wana toa fedha kwa ridhaa zao, na serikali yetu imetoa uhuru wa kuabudu, lakini ikifikia kiwango Watanzania wanatapeliwa, serikali ina wajibu wa kuingilia kati wananchi wake wasiendelee kutapeliwa!.
Namalizia kwa ile hoja ya msingi jee kuna haja ya serikali iingilie kati shughuli za haya makanisa ya wakovu ya miujiza ili Watanzania masikini wa kutupwa, wasiendelee kukamuliwa mamilioni kwa utapeli, huku wahubiri wakizidi kunona kwa kuwa mamilionea!.
Naomba kuwasilisha.
Paskali
Update
Mkuu Mywangu, usimwingize Mtumishi kweli wa Mungu, Kuhani Mussa, kumuona Kuhani Musa ni bure ila unaweza kuleta sadaka yako yoyote.
Kazi ya ujenzi wa Ngome ya Yesu pale Kimara Temboni, inafanyika kupitia kadi zinaitwa Partnership, hupangiwi kiwango, unajifanyia personal assessment ndipo unajaza!.
Watumishi matapeli kumuona ni lazima utoe 200,000, kuna watu walikuwa na 100,000 walitoa na zikapokelewa, watu wa 200,000 walipoongezeka, wale wa 100,000 walirudishiwa fedha zao, wakaambiwa wakadundulize mpaka zitimie 200,000 ndipo warudi.
Ukimuona Kuhani Mussa anakuombea na kukupatia vifaa vya kiroho bure extra utalipia lakini kuwaona matapeli hawa, unatakiwa kwenda kuleta kwanza sadaka, with the amount, from 6 figures ndipo uombewe!.
P
Huo ndio unaitwa uhuru wa kuabudu!Wanabodi

Huoni mpaka bungeni wanapelekwaKuna kipindi nilifikiria kuwa hawa wa hubiri ni sehemu ya serikali wapo ili kuwa pumbaza wananchi ili wakubwa wa endelee na mambo yao
Kuhani Musa hanaga bure. Huyo kwanza anakuinitiate kwenye cult mapepo yakupagae mbona utatema password zako za ATM bila kupenda. Kanisa limegeuzwa genge la wanyang'anyi siku hiziUkimuona Kuhani Mussa anakuombea na kukupatia vifaa vya kiroho bure
Kweli upofu wa imani ni mbaya sana, na bila shaka ww mzee unazeeka vibaya.Mkuu Mywangu, usimwingize Mtumishi kweli wa Mungu, Kuhani Mussa, kumuona Kuhani Musa ni bure ila unaweza kuleta sadaka yako yoyote.
Kazi ya ujenzi wa Ngome ya Yesu pale Kimara Temboni, inafanyika kupitia kadi zinaitwa Partnership, hupangiwi kiwango, unajifanyia personal assessment ndipo unajaza!.
Watumishi matapeli kumuona ni lazima utoe 200,000, kuna watu walikuwa na 100,000 walitoa na zikapokelewa, watu wa 200,000 walipoongezeka, wale wa 100,000 walirudishiwa fedha zao, wakaambiwa wakadundulize mpaka zitimie 200,000 ndipo warudi.
Ukimuona Kuhani Mussa anakuombea na kukupatia vifaa vya kiroho bure extra utalipia lakini kuwaona matapeli hawa, unatakiwa kwenda kuleta kwanza sadaka, with the amount, from 6 figures ndipo uombewe!.
P
Kila mtu ana haki ya kuamini au kutoamini anachotaka. Hata kama ni uongo na ujinga. Provided that it is in good faith with no malicious intent, which can be hard to disprove.Kaka paschal ni ngumu sanaa kuingilia Uhuru wa kuabudu....
Secular state & non_secular state
Cc. Bujibuji Simba Nyamaume , Mshana Jr , Kiranga , Mohamed Said , FaizaFoxy
Kwahiyo mawazo yangu yalikuwa sahihi?Huoni mpaka bungeni wanapelekwa
Ova
Wewe cha kumuabudu huyu MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSANHadith Idadi 16,245
Ni kweli...hivi nikweli mwanamke anaweza kurogwa asiblid miaka miwili na akaombewa muda huohuo akaanza kumwaga midamu yahedhi mazabahuni?
Tayari mkuu πππMkuu peleka hii kule kwenye " Vituko mitandaoni, tupia chako".
Cc: Pascal Mayalla