Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Nimekuja kunywa chai hapa kwenye Hotel. ni sehemu tuilivu na ya kuheshimika. nimemwagiza mhudumu kaniletea nilivyohitaji nami nikanywa nikajisikia sasa nipo vizuri kushika njia kwenda kuangalia namna ya kuweza lijenga taifa. nimemwita aniletee chenji yangu. Hapo ndo ameanza chenga ambazo hazina kichwa wala miguu. mimi chai yake na mihogo nimekunywa kwa haraka tu na kuwa tayari kumrudishia sahani na kikombe chake. yeye anaanza ujizungusha zungusha kunirudishia tsh 100 yangu.
Chai yenyewe wanauz bei kama nini. chai ya hudhurungi imajini wanauza tsh 500 kikombe kimoja. sukari washakuwekea huko huko kwa kipimo chao huwezi hata kuongeza wameweka sukari utadhani hii ni hotel ya kuhudumia walio na tatizo la Kisukari. ipo kwa mbaaaaaaaaaaaaaaaaaaali.
Haya mihogo tuvipande tudogo tu tsh 200. nimempa tsh 1,000 anipe chai moja na mihogo miwili ambayo inakuwa jumla tsh 400 na chai tsh 500. hapo inarudi tsh 100. sasa naona kama mhudumu anajizungusha zungusha anataka nisahau kila nikimkumbusha ananambia akirembua mijicho yake "uncle subiri kidogo" chenji kweli anatafuta saa zima? Watu tuna mambo ya msingi ya kujenga taifa yeye anataka kutupotezea muda. Nimekwazika sana. saa zima limepita nimefuata meneja nikiwa nimekasirika sana maana naona nachelewa kwenda katika mizunguko ya kitaifa. hii tabia serikali ikemee maana ni kusababisha hata wageni wasiweze kuja kwenye hotel zetu.
Tunapozungumzia utalii kuna haja ya kuwaelezea pia hawa wenye hotel kuajiri watu wenye kiwango kikubwa cha elimu na uelewa wa hizi biashara. haiwezekani mtu unashindwa kupata chenji ya tsh 100 tu kwa urahisi na unasema unafanya biashara. nilitaka niwavuruge kabisa yeye na meneja wake pale hotelini. Sema basi tu watu walinizuia.but sasa hivi mngesikia member mwenzenu mkongwe yupo polisi kw kosa kujeruhi watu na kuharibu mali. Kama hamwezi biashara acheni. Siyo mnakaa kusema mimi mfanyabiashara.biashara my foot.