Serikali iingilie kati suala la ulevi Moshi Mjini

Serikali iingilie kati suala la ulevi Moshi Mjini

Sasa Kagera hapa inahusikaje na uzi wenu na huo ulevi wenu. Wewe ndugu ukabila umekutawala. Yaani bila kuisema au kujilinganisha na Kagera hamujisikiagi vizuri et.
Ulevi upo Kila mahali hata kagera kwenu ulevi ni mkubwa hasa wa pombe za kienyeji(rubisi,kanijo,mgoligoli n.k)
 
acha kutusumbua, sisi wachaga tunafanya kazi na kunywa pombe sana. Baa zinafungulia asubuhi kwa ajili ya kuwahudumia watu wanaokesha kwenye shughuli mbalimbali usiku. Moshi hatujawahi kuwa omba omba maana tuna kazi nyingi sana za kuiingiza fedha i.e ujambazi, kupanda mlima n.k
 
Back
Top Bottom