luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Ulevi upo Kila mahali hata kagera kwenu ulevi ni mkubwa hasa wa pombe za kienyeji(rubisi,kanijo,mgoligoli n.k)Sasa Kagera hapa inahusikaje na uzi wenu na huo ulevi wenu. Wewe ndugu ukabila umekutawala. Yaani bila kuisema au kujilinganisha na Kagera hamujisikiagi vizuri et.
Nakuuliza tena Kagera inaingiaje hapa kwenye uzi wenu ndugu?Ulevi upo Kila mahali hata kagera kwenu ulevi ni mkubwa hasa wa pombe za kienyeji(rubisi,kanijo,mgoligoli n.k)
Nimeitolea mfano ktk hiyo post nilioitaja hebu irudie kuisomaNakuuliza tena Kagera inaingiaje hapa kwenye uzi wenu ndugu?
Ok.Nimeitolea mfano ktk hiyo post nilioitaja hebu irudie kuisoma
Ana hela za kuwalisha ukoo wenu wote miaka bukuMbowe mwenyewe mlevi.