Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
GPSA au Wakala Wa Manunuzi Serikalini ni miongoni mwa taasisi zinazoikwamisha serikali katika kupiga maendeleo ya haraka.
Siku nyingine nitakuja kwaajili ya taasisi nyingine lakini leo twende na GPSA.
Hii Wakala ni mhimili muhimu sana katika gurudumu la maendeleo hapa nchi ila Lina mauzauza mengi sana.
Mwaka jana mwezi July nilikwenda GPSA kununua bendera ya taifa kwa matumizi ya kiofisi. Nikaambiwa kuwa Bado hazijaja, nikaenda tena October Bado hazijaja, nikaenda Desemba mwanzoni kabisa ndipo nikapata.
Sasa nikaifungua ile bendera nikakuta maandishi kuwa ilizalishwa 2020.
Kama bendera ni ya Tanzania maana yake ni kwamba ilitenfenezwa kwaajili ya Tanzania tu. October 2021 unaenda GPSA unaambiwa kuwa bendera hakuna November mwishoni 2021 zinakuja zikionyesha kuwa zilizalishwa 2020.
Nini kilikwamisha mzigo huu kutoka huko India ambako ndiko mara nyingi zinatengenezwa kuja Tanzania?
Nitakuja kugusia pia uzito ulioko kwenye kuagiza gari za serikali ulioko huko GPSA.