Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huyu masikini jingalao aliunga mkono kila utopolo wa jiwe akidhani atakuwa Rais wa milele , Hawa vijana wachumia tumbo wa ccm ni bure kabisa !Aliyelilea hili likiwa mchicha hadi limekuwa mbuyu umesahau alihitaji kuondoa ukomo madarakani?
Enzi za mwendazake tulipinga, mkamsapoti hasa wewe, halafu Leo unaropoka hapa! Ccm acheni unafiki, mnawaumiza sana watu wa kipato cha chini, imagine mliwaruhusu wakaweka biashara zao wakaweka mitaji yao, Leo hii mnawaondosha kwa nguvuKuondokana na adha ya ushindani wa kisiasa kupitia wamachinga Serikali ije na muswada rasmi Bungeni utakaokataza biashara kupangwa barabarani.
Sheria hiyo iweke fine /adhabu kwa muuzaji na mnunuzi wa barabarani.
SAD AND PAIN BUT TRUTH!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Proccm wote halafu sasa hivi wanakuja na makalio wazi hapa, wameshaharibu maisha ya watuHuyu masikini jingalao aliunga mkono kila utopolo wa jiwe akidhani atakuwa Rais wa milele , Hawa vijana wachumia tumbo wa ccm ni bure kabisa !
Sheria za kusimamia hilo zipo ni suala la mamlaka husika kusimamia utekelezaji badala ya kupoteza muda na resources kutunga sheria nyingine ambayo akitokea kiongozi mjinga haitasimamiwa vile vile!Kuondokana na adha ya ushindani wa kisiasa kupitia wamachinga Serikali ije na muswada rasmi Bungeni utakaokataza biashara kupangwa barabarani.
Sheria hiyo iweke fine /adhabu kwa muuzaji na mnunuzi wa barabarani.
SAD AND PAIN BUT TRUTH!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Sheria ipo na inasimamiwa na serikali za mitaa, tatizo ni serikali za mitaa zilinyang'anywa madaraka ya kusimamia miji na majiji.Kuondokana na adha ya ushindani wa kisiasa kupitia wamachinga Serikali ije na muswada rasmi Bungeni utakaokataza biashara kupangwa barabarani.
Sheria hiyo iweke fine /adhabu kwa muuzaji na mnunuzi wa barabarani.
SAD AND PAIN BUT TRUTH!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!