greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,764
- 3,230
Naunga mkono hoja, hii ndiyo njia mojawapo na muhimu itakayotoa nafasi kwa watu wengi kufaidika na uchumi wa nchi..na itarahisisha uwekezaji kukuwa kwa baadhi ya makampuniKwa uchumi wa nchi yetu ulipofikia sasa,Serikali haioni tija ya kuwa na sera itakayo vutia na kulazimisha makampuni makubwa kujiunga na soko la Hisa la DSE
Faida ya Makampuni kuwa katika soko la hisa
Faida kwa Taifa
- Upatikanaji wa Mtaji wa Gharama Nafuu
- Kuongeza Thamani na Hadhi ya Kampuni
- Kuongeza ufanisi na umakini
Licha ya faida tajwa hapo juu,nchi yetu bado imebaki nyuma sana, jirani yetu Kenya katuacha mbali kwenye huu upande.
- Ukweli na Uwazi
- Thamani ya Biashara Kujulikana
- Ongezeko la Mapato ya Kodi
- Ugawaji wa Utajiri (Wealth Redistribution)
- Kuvutia Uwekezaji wa Kigeni (FDI)
Orodha ya makampuni makubwa ambayo yangepaswa kuwa katika soko hilo.
1. ACACIA,GEITA GOLD
2. AZAM,AZANIA,KAGERA SUGAR,MTIBWA SUGAR
3.TANESCO,SONGAS,TAIFA GAS
SUPERDOL,
4.ASAS,DANGOTE
5.MOHAMED ENTREPRISES,GSM,
6.MERU OIL,LAKE ENERGIES
7.HALOTEL,TIGO,AIRTEL,TPDC
8.TRC,NHC,DP WORLD,
Nakumbuka Hayati Magufuli alileta sera kama hiyo haswa kwa kulenga makampuni ya simu,na walipewa mda maalum...Naunga mkono hoja, hii ndiyo njia mojawapo na muhimu itakayotoa nafasi kwa watu wengi kufaidika na uchumi wa nchi..na itarahisisha uwekezaji kukuwa kwa baadhi ya makampuni
Sera ya kulazimisha ina paswa kutumika kwaSiungi mkono hoja.
Hasa unaposema "kulazimisha"
Okay hapo umeelezea vyema.Sera ya kulazimisha ina paswa kutumika kwa
1. Makampuni ya nje ambayo yanavuna hapa nchini,
ili watu waweze kuwekeza na kufaidika na rasilimali kwa urahisi.
hii sera inatumika duniani kote.
Bila hivyo hutoona kampuni ya nje itajitolea kuingia.
2. Baada ya mda wa hiari kupita,kuna makampuni yana dili chafu na ndiyo maana hayatokubali kuingia kiurahisi.
Kwa uchumi wa nchi yetu ulipofikia sasa,Serikali haioni tija ya kuwa na sera itakayo vutia na kulazimisha makampuni makubwa kujiunga na soko la Hisa la DSE
Faida ya Makampuni kuwa katika soko la hisa
Faida kwa Taifa
- Upatikanaji wa Mtaji wa Gharama Nafuu
- Kuongeza Thamani na Hadhi ya Kampuni
- Kuongeza ufanisi na umakini
Licha ya faida tajwa hapo juu,nchi yetu bado imebaki nyuma sana, jirani yetu Kenya katuacha mbali kwenye huu upande.
- Ukweli na Uwazi
- Thamani ya Biashara Kujulikana
- Ongezeko la Mapato ya Kodi
- Ugawaji wa Utajiri (Wealth Redistribution)
- Kuvutia Uwekezaji wa Kigeni (FDI)
Orodha ya makampuni makubwa ambayo yangepaswa kuwa katika soko hilo.
1. ACACIA,GEITA GOLD
2. AZAM,AZANIA,KAGERA SUGAR,MTIBWA SUGAR
3.TANESCO,SONGAS,TAIFA GAS
SUPERDOL,
4.ASAS,DANGOTE
5.MOHAMED ENTREPRISES,GSM,
6.MERU OIL,LAKE ENERGIES
7.HALOTEL,TIGO,AIRTEL,TPDC
8.TRC,NHC,DP WORLD,
9.IPP MEDIA,AFRICA MEDIA GROUP,CLOUDS MEDIA
10. BUMACO
11. ESTIM,GROUP SIX
1. Kampuni inaweza kuwa kwenye soko la hisa zaidi ya Moja...Makampuni mengi hapo ni tanzu za makampuni makubwa ya huko nje.
Mfano; Airtel - Bharti Airtel huko India
Tigo - Axian telecom
Tigo - Axian telecom
Halotel - Viettel global
Acacia - Barrick mining
Kwa uelewa wangu makampuni mengi makubwa tanzania ni ya kifamilia. Ukiipeleka kampuni kwenye soko la hisa unalazimika kisheria kuweka wazi mipango na matumizi ya fedha, kuwa na bodi nk. Hivi vitu vinaondoa usiri.
Sawa ,lakini angalau vitu vitakuwa adharani...Kwa apa bongo sio kiv chepes ma ita ikitakiwa kua ivyo bado wamili wataendelea kujimilikisha u mafisadi watamiliki hisa nyingi
Si-support hiyo point namba 2.1. Kampuni inaweza kuwa kwenye soko la hisa zaidi ya Moja...
Kwa mfano Jubilee,Vodacom na Swissport yote haya ni ya nje ya nchi na yapo kwenye soko la hisa la DSE...
2. Yakifamilia : Yanaweza weza 49% ya hisa sokoni.
- Kuepusha kutumika katika biashara chafu
- Kugawana faida ya rasilimali
- kuzuia athari ya kiuchumi endpoint kutakapokuwa na mzozo katika familia
Hata hayo makampuni yalifaidika kwa upendeleo flani kutoka serikalini...Si-support hiyo point namba 2.
Kwamba lazma wauze hisa? 🤔
Familia ipambane kwa generation na generation kujenga himaya zao, afu leo uamke tu kuwalazimisha wauze hisa (wauze umiliki wa kampuni yao)
Siungi mkono hoja.
Haitakiwi kuwa lazma, kuuza sehemu ya umiliki wa kampuni yako kwa watu wengine, inatakiwa kuwa hiari, na sio lazma.
Anyway ila kila kitu kinawezekana, it's about sera za nchi tu, ila this is not cool.
Taasisi za uanachama au makampuni ya nje yaliyowekeza TZ, hayo ni sawa wao kuuza hisa kwa sera hizo za lazma, ila kampuni za wazawa iwe ni hiari.
Watamzania hawana MITAJI.Kwa uchumi wa nchi yetu ulipofikia sasa,Serikali haioni tija ya kuwa na sera itakayo vutia na kulazimisha makampuni makubwa kujiunga na soko la Hisa la DSE
Faida ya Makampuni kuwa katika soko la hisa
Faida kwa Taifa
- Upatikanaji wa Mtaji wa Gharama Nafuu
- Kuongeza Thamani na Hadhi ya Kampuni
- Kuongeza ufanisi na umakini
Licha ya faida tajwa hapo juu,nchi yetu bado imebaki nyuma sana, jirani yetu Kenya katuacha mbali kwenye huu upande.
- Ukweli na Uwazi
- Thamani ya Biashara Kujulikana
- Ongezeko la Mapato ya Kodi
- Ugawaji wa Utajiri (Wealth Redistribution)
- Kuvutia Uwekezaji wa Kigeni (FDI)
Orodha ya makampuni makubwa ambayo yangepaswa kuwa katika soko hilo.
1. ACACIA,GEITA GOLD
2. AZAM,AZANIA,KAGERA SUGAR,MTIBWA SUGAR
3.TANESCO,SONGAS,TAIFA GAS
SUPERDOL,
4.ASAS,DANGOTE
5.MOHAMED ENTREPRISES,GSM,
6.MERU OIL,LAKE ENERGIES
7.HALOTEL,TIGO,AIRTEL,TPDC
8.TRC,NHC,DP WORLD,
9.IPP MEDIA,AFRICA MEDIA GROUP,CLOUDS MEDIA
10. BUMACO
11. ESTIM,GROUP SIX
Foreigners continue to reap the profits of wealth flowing out of #Africa. New data shows 54% of listed corporate ownership in 8 key nations is foreign-held.Kwa uchumi wa nchi yetu ulipofikia sasa,Serikali haioni tija ya kuwa na sera itakayo vutia na kulazimisha makampuni makubwa kujiunga na soko la Hisa la DSE
Faida ya Makampuni kuwa katika soko la hisa
Faida kwa Taifa
- Upatikanaji wa Mtaji wa Gharama Nafuu
- Kuongeza Thamani na Hadhi ya Kampuni
- Kuongeza ufanisi na umakini
Licha ya faida tajwa hapo juu,nchi yetu bado imebaki nyuma sana, jirani yetu Kenya katuacha mbali kwenye huu upande.
- Ukweli na Uwazi
- Thamani ya Biashara Kujulikana
- Ongezeko la Mapato ya Kodi
- Ugawaji wa Utajiri (Wealth Redistribution)
- Kuvutia Uwekezaji wa Kigeni (FDI)
Orodha ya makampuni makubwa ambayo yangepaswa kuwa katika soko hilo.
1. ACACIA,GEITA GOLD
2. AZAM,AZANIA,KAGERA SUGAR,MTIBWA SUGAR
3.TANESCO,SONGAS,TAIFA GAS
SUPERDOL,
4.ASAS,DANGOTE
5.MOHAMED ENTREPRISES,GSM,
6.MERU OIL,LAKE ENERGIES
7.HALOTEL,TIGO,AIRTEL,TPDC
8.TRC,NHC,DP WORLD,
9.IPP MEDIA,AFRICA MEDIA GROUP,CLOUDS MEDIA
10. BUMACO
11. ESTIM,GROUP SIX
1. Umiliki wa nje ni umepungua tofauti na ilivyokuwa mwanzo.,hii imetokana.Foreigners continue to reap the profits of wealth flowing out of #Africa. New data shows 54% of listed corporate ownership in 8 key nations is foreign-held.
• Zambia: 87% foreign-owned
• Tanzania: 64%
• Ghana: 59%
• SA: US/UK investors hold 40%+.
In foreign hands | ROAPE
Drawing on original empirical data from eight African countries, Robin Jaspert argues that the profits reaped out of Africa flow into the hands of foreign capitalists mostly located in the global North. This is because, Jaspert contends, foreign financial capital owns the continent's companies –...roape.net
Huwezi kujenga UCHUMI SHIRIKISHI bila kukuza MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII, BIMA na USHIRIKA (AMCOS/SACCOS).
Imagine, unauza HISA za TANESCO ananunua MWARABU, MCBINA au MZUNGU halafu anapandisha bei ya UNIT, ili apate faida mwisho wa mwaka.
Kuuza TANESCO hakuna tofauti na kuuza BARABARA inayoenda nyumbani kwako.
1. Kama ulikuwa haujui,Hizo taasisi ya mifuko ya Jamii ni..Watamzania hawana MITAJI.
Ukiweka hayo makampuni, watakaoyamiliki ni WAGENI.
Wewe ni bipesa vyakao milioni 10, ni vihisa vingapi utamiliki??
WATZ wengi ni MASIKINI, Wakulima wafogo, wavuvi, biashara ndogo, uchimbaji mdogo wa madini.
Hata taasisi za wafanyakazi kama NSSF, PSSSF ni masikini.
AMCOS, SACCOS, NHIF ni masikini, maana yake hakuna pesa.
Labda kama unataka kuuza NCHI na UCHUMI wa NCHI.
Wana vihisa. Siyo wanahisa wakubwa kwasababu hata jukumu lao la msingi tu huwa wanafeli, na wastaafu wanaumia.1. Kama ulikuwa haujui,Hizo taasisi ya mifuko ya Jamii ni..
- Wanahisa wakubwa katika makampuni yaliyopo kwenye soko la hisa (soma ripoti za mwaka za makampuni ya DSE)
Same na hapo juu. Vihisa
- Wanahisa wakubwa katika mfuko wa UTT
Si kitu cha kujivunia
- Wamiliki wakubwa wa Hati fungani za serikali
Aisee
- Wajenzi wakubwa wa majengo hapa nchini
Hivi ni vijistori vya kukadiria. Siyo actual facts2. Tanzania ni moja kati ya nchi 5 zenye Mamilionea wengi hapa barani Afrika,,watu wanahera mpaka hawajui wazifanyie nini.
Ni kukosa elimu ya Masoko ya mitaji tu,kunafanya wengi wakimbilie kujenga majumba ambayo hata hawajui watafanyia nini.
3. Kuna nafasi kubwa sana ya mtu kutengeneza hela kwa soko la hisa la Dar kuliko la nchi za magharibi.
-Kama ungekuwa na hisa 10M za kampuni ya NICOL kutokea Disemba 2025 hadi leo hii zingekuzalishia 20M ya faida .
Wahindi wana pesa kwasababu za kihistoria. Babu zao hawajawahi kuwa wafugaji, wakulima, au wavuvi.Pitia Data na sio kusikiliza stori za vijiweni,,Wahindi wanatupiga bao huko
Wamepambana wapi wewe kwa kusupportiwa na ccm na kujonya watz kwa mishahara kiduchuSi-support hiyo point namba 2.
Kwamba lazma wauze hisa? [emoji848]