Serikali ije na sera ya kuhimiza makampuni makubwa kujiunga na soko la hisa D.S.E

Wana vihisa. Siyo.wanahosa wakubwa kwasababu hata jukumu lao la msingi tu huwa wanafeli, na wastaafu wanaumia.

Same na hapo juu. Vihisa

Si kitu cha kujivuniq

Aisee

Hivi ni vijistori vya kukadiria. Siyo actual facts

Huu ni uongo

Wahindi wana pesa kwasababu za kihistoria. Babu zao hawajawahi kuwa wafugaji, wakulima, au wavuvi.
Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ni Moja kati ya wanahisa wakubwa katika makampuni yafuatayo
1.NMB
2.CRDB
3.NICOL
4.AFRPRISE
5.TWIGA

Soma annual report...
Acha uvivu,nenda kasome hizo nyaraka halafu ndiyo uje.

Kwenye Ujenzi.
Katika orodha ya Majengo 10 marefu na makubwa Tanzania,zaidi ya nusu ni yanamilikiwa na Mifuko ya hifadhi ya jamiii

Bro,pitia data acha kujibu kwa hisia.,,,
 
Wewe unabaki kusema sababu za kihistoria wakati Wenzako ndiyo wakopeshaji wakubwa wa ndani katika bajeti ya serikali...
Tembelea minada ya Hati fungani ukajionee...
 
Huo ndio uzembe wa kizembe nauzungumzia
 
Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ni Moja kati ya wanahisa wakubwa katika makampuni yafuatayo
1.NMB
2.CRDB
3.NICOL
4.AFRPRISE
5.TWIGA

Soma annual report...
Acha uvivu,nenda kasome hizo nyaraka halafu ndiyo uje.

Kwenye Ujenzi.
Katika orodha ya Majengo 10 marefu na makubwa Tanzania,zaidi ya nusu ni yanamilikiwa na Mifuko ya hifadhi ya jamiii

Bro,pitia data acha kujibu kwa hisia.,,,
Wana hisa wakubwa ni NSSF Uganda.

Hao NSSF, PSSSF TZ ni wababaishaji tu.
 
Back
Top Bottom