Serikali ije na sera ya kuhimiza makampuni makubwa kujiunga na soko la hisa D.S.E

Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ni Moja kati ya wanahisa wakubwa katika makampuni yafuatayo
1.NMB
2.CRDB
3.NICOL
4.AFRPRISE
5.TWIGA

Soma annual report...
Acha uvivu,nenda kasome hizo nyaraka halafu ndiyo uje.

Kwenye Ujenzi.
Katika orodha ya Majengo 10 marefu na makubwa Tanzania,zaidi ya nusu ni yanamilikiwa na Mifuko ya hifadhi ya jamiii

Bro,pitia data acha kujibu kwa hisia.,,,
 
Wewe unabaki kusema sababu za kihistoria wakati Wenzako ndiyo wakopeshaji wakubwa wa ndani katika bajeti ya serikali...
Tembelea minada ya Hati fungani ukajionee...
 
Wewe unabaki kusema sababu za kihistoria wakati Wenzako ndiyo wakopeshaji wakubwa wa ndani katika bajeti ya serikali...
Tembelea minada ya Hati fungani ukajionee...
Huo ndio uzembe wa kizembe nauzungumzia
 
Wana hisa wakubwa ni NSSF Uganda.

Hao NSSF, PSSSF TZ ni wababaishaji tu.
 
Yaaahh kuhimiza ni vyema ila wasilazimishe kama walivyofanya kwa vodacom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…