Serikali ijiuzulu kwa kushindwa kutumia rasilimali asilia za nchi hii

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Habari wananchi wenzangu!

Serikali ijiuzulu kwa kushindwa kutumia rasilimali mito, maziwa na bahari kukimesha tatizo la upatikanaji wa maji kwa wananchi.

Dar es salaam sehemu zenye miundombinu ya maji safi na salama ni chache tena hizo sehemu chache sasa hawapati kabisa.

Huku Chanika hakuna Bomba la Dawasco wala Dawasa.

Serikali ijiuzulu kwa kushindwa kutumia rasilimali asilia kama madini ya aina mbalimbali ya nchi hii.

Serikali ijiuzulu kwa kushindwa kutumia rasilimali ya gesi asilia iliyojaa katika ardhi ya Tanzania.

Mtungi wa kg 6 Dar es Salaam unajazwa kwa sh. 24, 000.

Serikali ikiri kuwa imeshindwa kutumia mali asili za nchi hii.

Wawapishe Watanzania wengine waongeze hii nchi
 
Kujiuzulu ni Uingereza tu huku kwetu hawajui hilo neno
 
Ccm iji udhuru ,tuchague viongozi wengine mseto wa vyama .

Bunge liwe la mseto, serikali iwe ya mseto , Madiwani na wenyeviti wa serikali za mitaa ziwe za mseto.
 
Habari wananchi wenzangu!

Serikali ijiuzulu kwa kushindwa kutumia rasilimali mito, maziwa na bahari kukimesha tatizo la upatikanaji wa maji kwa wananchi.

Dar es salaam sehemu zenye miundombinu ya maji safi na salama ni chache tena hizo sehemu chache sasa hawapati kabisa.

Huku Chanika hakuna Bomba la Dawasco wala Dawasa.

Serikali ijiuzulu kwa kushindwa kutumia rasilimali asilia kama madini ya aina mbalimbali ya nchi hii.

Serikali ijiuzulu kwa kushindwa kutumia rasilimali ya gesi asilia iliyojaa katika ardhi ya Tanzania.

Mtungi wa kg 6 Dar es Salaam unajazwa kwa sh. 24, 000.

Serikali ikiri kuwa imeshindwa kutumia mali asili za nchi hii.

Wawapishe Watanzania wengine waongeze hii nchi
Serikali haiwezi kujiuzulu labda pendekeza mtu wa kujiuzulu
 
Back
Top Bottom