Unaweza kuwazuia watu kutembea kama njia ya maandamano lakini wakawa wamekutana nakutoa ujumbe. Kikubwa sio kutembea ni ujumbe kufika
Na kuna wakati jitihada za kutumia jeshi au Polisi zikasaidia zaidi kwenye ujumbe . Ndiyo maana usifikirie kuzuia matembezi ni kuzuia maandamano. Kama wana mabango, Media na watu ujumbe utafika kwa wahusika na hilo ndiyo lengo kuu. Hii inawezekana ndiyo sababu Chadema kwenye haya maandamano hawana cha kushindwa wana ujumbe, Nia, Media na watu. Kwao ni win hata kama wakizuiwa kutembea hasa na wale wale Polisi ambao ndiyo sababu ya kuandamana