LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
Kuna ile rangi haibiwi benzi. Ukute wewe na mkeo ni weusi au weupe mtoto akatoka hana rangi zenu ana rangi ya msela aliyeiba penzi. Hapa hakuna haja ya kupima DNA wala hadithi ya kufanana na bibi au babu mzaa mama sijui mzaa baba ni kunyooka tu mke atoe maelezo ya kweli alikutana na nani ili baba halisi wa mtoto ajulikane kwa sababu at the end damu hufuata mkondo wake mtoto huelekea kwa baba yake