Serikali ikemee kwa nguvu zote wanaodai Hayati Magufuli kauawa, iondoe video zote YouTube na kuwasaka wahusika

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Mada hapo juu inaeleweka vizuri.

Kuna habari zmezagaa mitandaoni kuwa Rais John Magufuli kauliwa na watu wakubwa na walianza kufanya mipango siku nyingi. Habari hizi zipo pia vijiweni.

Rais Samia Suluhu kwa makosa makubwa Sana na bila kujua kakosea alizungumzia habari hizi akilihutubia Bunge hivi majuzi. Ilikuwa ni kosa kubwa kuzungumza Jambo Kama Hilo Bungeni. Aliahidi wazushi hao watakamatwa lakini hatuoni wakikamatwa na habari hizi zinazidi kuzagaa.

You Tube Kuna video zinatembea zikitaja waratibu wa mauaji na nashangaa kwanini serikali imeruhusu uvumi huu kuendelea kuzagaa.

Niseme tu pia ilikuwa kosa kwa Rais kuteleza na kuzungumza uvumi huu Bungeni. Kufanya kosa Sio kosa ila kurudia kosa ndiyo kosa.

Naomba wanaosambaza habari hizi wakamatwe Kama Rais alivyoahidi au wajitokeze kutoa ushahidi Kama pia walivyoombwa na Rais.
 
Muraga ni mtuhumiwa nambari one
 
... kuondoa hii shombo shauri hili lipelekwe kwa DPP na kitengo cha upelelezi cha polisi na tuanze na wapambe na walinzi wote wa Jiwe kama watuhumiwa namba moja ...!
 
K
Labda ni kweli.?Mama amesharuhusu Uhuru wa vyombo vya habari.Ww unakuja na ukandamizaji was habari.Hauoni kuwa haumtendei haki?Au ni ww unahusika nn?
 
K

Labda ni kweli.?Mama amesharuhusu Uhuru wa vyombo vya habari.Ww unakuja na ukandamizaji was habari.Hauoni kuwa haumtendei haki?Au ni ww unahusika nn?
Habari za uzushi na kukumbusha watu mpendwa wao utagawa jamii
 
Linachoma kumoyo mkuu
 
... kuondoa hii shombo shauri hili lipelekwe kwa DPP na tuanze na wapambe na walinzi wote wa Jiwe kama watuhumiwa namba moja ...!
Tufanye na kaplea bageni fulani hivi tupate mapato awu nasema uwongo ndugu zangu?
 
Wee mwwnyeww ni miongoni mwa wasambazaji maana usingeleta uzi kama huu hapa mi sijui kama huko you tube kuna makitu hayo.
Na vike vile uzi kama huu andika twiter (kama una acount huko)mama kule atauona maana huko ndio anakopita pita huku jf haingii saaana tangu ame log out haja log in tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…