Duh...!, Mkuu
Kamundu, yaani Tanzania iachane na utaratibu wa kuruhusu sheria kufuata mkondo wake kwasababu tunaigopa Mjerumani atafunga ubalozi wake nchini?!. Mwenzetu umejuaje haya au kumbe na wewe, ni kwa nenzetu uko ubalozini Ujerumani ?.
Kesi ya Mbowe si naendelea kusikilizwa, kwanini kuingilia uhuru wa mahakama yetu kwa kututishia nyau kuwa watafungasha virago vyao watimke?. Hivi hao wanabalozi wa Ujerumani, hicho ndicho kilichowaleta nchini ?!.
Acheni kuwasingizia wana Balozi mambo ya ajabu. Acheni mahakama itimize wajibu wake bila kuingiliwa au kupewa mashinikizo.
P