Serikali ikikosea kesi ya Mbowe, naamini Ujerumani watafunga ubalozi

Wewe ni kwa vile unakuwaga na chuki binafsi na MMbowe
 
Mkuu mbenge, maneno makubwa, makali, mazito, nimeyapokea na nayatafakari na kuyafanyia kazi. Anayakuonya na kukushauri ni anakupenda na kukutakia mema. Asante kwa ushauri.
P
 
Mayala manake ni njaa..mwendakuzima alimaliza kuhusu wewe...sasahivi unapuyanga bila hoja.

Kwahiyo unataka balozi zisihoji kuhusu haki za binadamu na demokrasia ila bado vyoo na shule mnawaomba kila siku..imewashinda nini kuwafukuza.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mkuu mbenge, maneno makubwa, makali, mazito, nimeyapokea na nayatafakari na kuyafanyia kazi. Anayakuonya na kukushauri ni anakupenda na kukutakia mema. Asante kwa ushauri.
P
Mkuu Paskali nakushukuru kwa kujali na hata kukubali kushaurika, pasipo kujali mantiki za kiushauri na za kihoja zitokazo kwa "followers" wako.
 
Ndugu Kamundu

Hivi kule Rwanda na Guinea, hao Ujerumani wameshsfunga ubalozi, what is so special about TZ?
 
Ndugu Kamundu

Hivi kule Rwanda na Guinea, hao Ujerumani wameshsfunga ubalozi, what is so special about TZ?
Sijui hata kama wana balozi kule na kila nchi wana sababu zao za kuwa na balozi. Kuna nchi wana balozi ili wasaidie wakimbizi lakini sehemu nyingine wanaweza kuwa na balozi wakijua nchi itakuwaje miaka 10 au 20 ijayo. Tanzania ni nchi tofauti kwa ukubwa idadi na hata kwenye mambo ya mazingira. Lakini kikubwa ni kwamba wanajua Watanzania wenyewe wanapenda uhuru, haki na demokrasia. I awezekana Rwanda usafi kwao unatosha!
 
Roho inaniuma sana nikifikiria nakatwa tozo kuwalipa mishahara kila mwezi hawa state attorney..
 

Kukosea maana yake nini na ni by who’s standard?
 
Bila shaka hukumu itatendeka kwa haki, kwa mwenendo wa kesi ulivyo inatia moyo. Binafsi nimependa jinsi jaji alivyotengeneza mazingira rafiki kwa mawakili wa pande zote.
 

Nani mwenzako?
 
Paschal Mayalla, sheria kufuata mkondo wake haina maana ya kuwakamata watu, kuwatesa na kuwabambikia kesi. Na hata kama mahakama itawaachia huru bado CCM na polisi watakuwa wameshinda kwa sababu azma ya kuwatesa, kuwapotezea muda, kuwadhalilisha, kuudanganya umma kupitia vyombo vya habari kuwa ni magaidi imetimia.
Lakini pia ukumbuke Sugu alifungwa kwa kuonewa, Mdude mahakama ilithibitisha alibambikiwa kesi
Lakini pia ukumbuke Lema aliwekwa mahabusu kwa mamia ya siku na mahakama ya juu ikathibitsha kuwa alionewa,
Lakini pia ukumbuke Mbowe na wenzake walifungwa miezi mitano kwa kuonewa na baadae mahakama za juu ilithibitisha hivyo.
Wewe hayakugusi kwa sababu ni CCM. Naishauri CCM haijalishi mwaka jana walipataje ushindi ijikite katika maendeleo. Gharama serikali inayotumia kwenye kesi hii ipelekwe kwenye maendeleo na tozo ipunguzwe.
 
Aliyeingilia uhuru wa mahakama ni Samia akihojiwa na BBC, tena akafika mbali zaidi na kusema uongo kuwa kwenye kesi hii wengine wameshahukumiwa.

Kwa hiyo kinara wa kuingilia uhuru wa mahakama ni Samia.
 
Kesi mwisho inafutwa subiri uone movie ya jet LI na kingwendu
 
Wewe ni kwa vile unakuwaga na chuki binafsi na MMbowe
Hizi nazo ni chuki binafsi?.
P
 
Pamoja na Yote Polisi wetu ni hatari sana mimi binafsi siwaamini tenaaaa.

Wakakusanyika pamoja na wazee, wakafanya shauri, wakawapa askari fedha nyingi,

wakisema, Semeni, ya kwamba wanafunzi wake walikuja usiku, wakamwiba, sisi tulipokuwa tumelala.

Basi wakazitwaa zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa. Na neno hilo likaenea kati ya Wayahudi hata leo.
(Mathayo 28 12,13,15) Hii laana inawatesa sana askari wetu.
 
Huu mchango wako ni zaidi ya umaamuma wa ngazi ya PHD, yaani Ujerumani ya Adolf Hitler iliyosimamia mauaji ya wayahudi kwa maelfu, Ujerumani yenye historia mbovu dunia nzima, iliyotumika kupitia conference ya Berlin kutugawa bara zima, till this day they are doing the same thing using multiparty system ikizingatiwa kuwa historia hujirudia, references zipo kwenye I & II world wars, ndio watupangie miundo ya upatikanaji wa haki zetu mpaka leo! Na sisi tuwe comfortable kabisa, sio! Unawazimu mzee.
 
Mkuu kama unakumbuka Marehemu aliwahi kukwambia Public mbele ya wanahabari wenzako kua jina lako kwa lugha ya kwao Mana yake ni njaa. Akimananisha upunguze njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…