Serikali ikikosea kesi ya Mbowe, naamini Ujerumani watafunga ubalozi

Hakuna mtu ameingilia Uhuru wa Mahakama lakini Kwa tunaofwatilia hii case unajiuliza kwanini Askari wetu hawakuchukua taadhari zote?!!.. Kwanini serikali ina wanasheria namna hii hata mtu ambae sio mwanasheria anaweza kuwa challenge!!..Unajiuliza mbona mambo yenye na kuhusisha Ugaidi ni kama mbingu na Nchi?!!
 
hivi wewe gaidi anaweza pewa laki sita?
 
P swali ni kuwa tumefikaje huko mahakamani?Swala la utaratibu wa utoaji haki kupewa nafasi ni jambo lingine.
 
Tatizo yule mswahili anapenda sifa balaa
 
Na wewe ndiyo maana umepoteza mvuto, mwanzo ulikuwa unaandika fact tupu sahivi ni ugoro tupu.
 
Mayala, hakuna kesi pale ni ujinga, visasi na roho mbaya zetu tu, na mambo kama haya ndio yanayoingiza mataifa mengi kwenye machafuko, inshot tunamulikwa sana tu, na usione ujanja balozi kuanza kutukimbia tushaanza kuona mfano.

Katiba mpya inaitajika na ndio itakayo tuokoa na watu wenye maslai binafsi na si ya Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…