Si 24/7 huwa mnawasimanga humu JF kuwa ni watumwa na maskini milele wanaopaswa wajiajiri, imekuwaje leo muwe na upendo hadi kuwaombea ujira wao serikalini?Mama ikikupendeza kesho watumishi wajaze manoti yao, waje mtaani watulipe madeni yetu na wanunue bidhaa,sikukuu hii mama mtaani kugumu watu hawana kitu biashara haziendi
Kesho jumapili Mkuu?Mama ikikupendeza kesho watumishi wajaze manoti yao, waje mtaani watulipe madeni yetu na wanunue bidhaa,sikukuu hii mama mtaani kugumu watu hawana kitu biashara haziendi
Tumetofautiana sana. Kuna mfanyakazi mwenzangu akawa anaomba utoke baada ya sikukuu, alionq ataumaliza, mapema, mi nikamwmabia jumamosi lazima, na ujibane usiende kuchukuaMama ikikupendeza kesho watumishi wajaze manoti yao, waje mtaani watulipe madeni yetu na wanunue bidhaa,sikukuu hii mama mtaani kugumu watu hawana kitu biashara haziendi