Miaka ya nyuma wiki inayoendea sikukuu mshahara ulikuwa unatoka kabla ya sikukuu ikiwa sikukuu hiyo itaangukia mwisho wa mwezi yaani wiki ya mwisho wa mwezi kuanzia tarehe 20, pasaka ni tarehe 20 mshahara unatakiwa utoke kabla ya tarehe hiyo ili wafanyakazi wapate hela za kula sikukuu. Angalizo ukila mshahara wote mwezi utakuwa mrefu sana hadi kutoka mshahara mwingine utasota mpaka akili ya kutumia mshahara ikuingie ila itategemeana na scale yako ya mshahara na kama huna chanzo kingine cha kupata fedha