Serikali iko wapi? Bagamoyo aibu

Serikali iko wapi? Bagamoyo aibu

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,162
Reaction score
796
nashangaa sana, bagamoyo mgogoro kati ya Halmashauri, idara ya elimu sekondari na DEO hawa watu wamuwaoni? nani anahusika, kutoelewana na maneno maneno yanayoendelea KAWAMBWA huoni? au YALIYOMKUTA Nundu, Mponda na wengine ni aibu! HAPA BAGAMOYO hawa watu wanazorotesha ustawi wa mji kielimu..hawafai..tutoleeni MAJOHA NA EVODIUS wanapoteza muda hawa..
 
Huko wilaya ya Bagamoyo ndiko anakotoka Rais lakini madudu na wizi unaofanywa na Halmashauri ya wilaya hiyo inaonesha kabisa kuwa hayo madudu yanayofanyika huko yana baraka za Kawambwa na nduguye mkweree. Hela za kujenga barabara ya Bagamoyo mpaka Msata ziliibiwa hivi hivi na hakuna hatua zilizochukuliwa badala yake zikapelekwa nyingine; watumishi wa Halmashauri wakaiba fedha ambazo zilimuhusisha waziri wa Tamisemi wa wakati huo mpaka leo hakuna kinachoendelea huko mahakamani na waziri husika akahamishiwa wizara ya sheria!! Sasa kama yote haya yanatendeka nyumbani kwao mtawala mkuu na hakuna hatua zozote kali zinazochukuliwa sembuse huko mbali madongo kuinama?
 
Back
Top Bottom