DOKEZO Serikali iko wapi masoko yanakuwa machafu kiasi hiki? Kipindupindu kitatuacha?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Masoko ya Arusha ndio balaa sijui Samunge na Kilombero ni kipindu pindu kabisaa...
 
Yote na yote jamii pia inalo jukumu la kuimalisha usafi
Sio kila kitu selikali iwafanyie, Jamii sasa wao jukumu lao litakua lipi?
ingekuwa wewe ni mlipaji wa kodi usingeongea ujinga hapa,
hapo watu wanalipa ushuru kuna hela ya taka inatolewa kila mwezi ila tatizo ni viongozi wetu wengi wanawaza upigaji tu!
 
Mkuu tupo chini ya ccm na kodi tunalipa.
 
Hii mada ni muhimu sana mamlaka husika zichukue hatua,haya ndiyo mambo yanayoweza kuinua Taifa au kuliangamiza.Ni suala mtambuka yaani pana sana.
 
Hivi tunashindwa wapi waafrika? Akili tunazo,elimu ipoh na rasilimali watu ipo japo rasilimali pesa ni kidogo naamini tukiamus tunaweza na tulishaliweza enzi za mwendazake kipindi cha usafi kila jumamosi
 
Kumbe hatuna haja yakulaumu sana milipuko ya magonjwa maana mazingira tushayatengeneza wenyewe [emoji23][emoji23]milipuko inatuachaje kwa mfano
Kwa nn ukae sehem chafu?
Fanya usafi mwenyewe
 
Mtu mchafu… hasafishi alipo Halafu tunaita serikali

This is too much

Kuna anahitaji serikali imfundishe usafi?
Uvivu utawauwa wajinga hao
Na mimi nasema kipindupindu kiwauwe
 
Yote na yote jamii pia inalo jukumu la kuimalisha usafi
Sio kila kitu selikali iwafanyie, Jamii sasa wao jukumu lao litakua lipi?
Kupiga umbea na kujadili simba na yanga
 
Mkuu wa wilaya kashindwa kazi.

Hali inatisha.
 
ingekuwa wewe ni mlipaji wa kodi usingeongea ujinga hapa,
hapo watu wanalipa ushuru kuna hela ya taka inatolewa kila mwezi ila tatizo ni viongozi wetu wengi wanawaza upigaji tu!
Tulia wewe kwa wewe hupendi kulamba asali
 
Masoko si yana watu? Si yana uongozi? Kipindu pindu kikijia haitoharisha serikale ni wao ndio watahrisha maji ya mchele.. mana uchafu wao ndio wanautengeza na uko kwa wao. So hapo ni swala la kutumia akili tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…