A
Anonymous
Guest
Hivi majuzi Serikali ilipatiwa msaada wa vishkwambi kwaajili ya zoezi la sensa kutoka korea ambapo balozi wa Korea nchini Tanzania alivikabizi Kwa waziri mkuu na tayari vimeanza kufanyia kazi iliyokusudiwa swali langu ni je
1. Idara za Usalama wa Taifa nchini ilijiridhisha vizuri kupokea msaada huo wa vishkwambi?
2. Je kama wakorea wametoa msaada huo kwa lengo lao binafsi likiwemo ujasusi wa kimtandao ambapo vifaa hivyo tajwa vinaandika taariffa kamili za wananchi pamoja na viongozi wa kiserikari na wa vyombo vya ulinzi na usalama zikiwemo namba za simu za mhusika na anuani kamili ?
Nashauri vyombo vya usalama ikiwemo TISS na TCRA mjiridhishe tena kuhusu vishkwambi hivyo kwa kuviwekea mifumo ya ulinzi wa taariffa ili kuzuia udukuzi wa Taarifa za wananchi